Mh. Sumaye awatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo, atoa msaada wa mifuko 100 ya saruji

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
6b9d7a666b473ba9063d6ad0466c6aee.jpg
Waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye, amewatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo iliyonyesha usiku wa kuamkia jana katika maeneo tofauti ya mji wa Shinyanga ambapo ametoa msaada wa mifuko 100 ya saruji.

Chanzo : ITV
 
Jaman sumayi hata aibu huna mbona mifuko midogo sana hiyo hujatoa hata mabati
 
Back
Top Bottom