Recent content by FREDCOM

  1. F

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Mumeo kakupa ndoa kakupa maisha yake yote kakupa mwili wake moyo wake ndoto zake wewe unafanya ujinga zawadi au malipo unayopaswa ulipwe ni moja tu kifo ndio malipo ya msaliti yeyote yule duniani
  2. F

    Mada moto: Humphrey Polepole aongelea Miaka 50 na kilichofanyika

    hivi sisi wa tanzania tumerogwa wewe ukitaka kujua kama umepiga hatua ni rahisi sana jilinganishe na mtu mliokuwa nae sawa kiuchumi wakati mnaanza yeye yuko wapi saivi na wewe uko wapi saivi ila kwa kukupa tu taharifa nikwabie kwamba wale tulikuwa nao uchumi sawa wametuzidi mara mia zaidi sisi...
  3. F

    Katibu Mkuu wa CHADEMA anapolindwa na walinzi wa Kanisa!

    we ----- kweli mbona ushangai sasaivi analindwa na usalama wa taifa na polisi wakati hao walikuaga maaduhi wakubwa wa dr sasa huu uhusiano hadi wa kumlinda umeanza lini!!
  4. F

    Papa Francis kuifanyia marekebisho sheria ya Talaka

    hebu fikirisha kidogo ubongo wako maana kadri siku zinavyozidi kwenda watu wanazidi kukengeuka na itafika wakati hitaji la dunia litakuwa watu wanataka ushoga kwahio kanisa nalo litabidi kubadirisha sheria zake ili kwenda na wakati!!
  5. F

    Tabora Badilikeni nyie wanyamwezi

    akili yako imefungwa jiwe kubwa alafu imetupwa baharini eti ccm kanilea ccm ilikuaga inakuletea nepi au imekulea vip
  6. F

    Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hichi kijamaa ni moja ya watu wapuuzi waliobakikia ktk nchii hii ngoja atumike kama kondom alafu atupwe
  7. F

    Mwendo huu sidhani kama tutafika, tukipishana jambo kidogo tu kasusa

    Ni kabila gani tuanzie hapo maana mambo mengine yanahusiana na hasiri ya mtu
  8. F

    Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

    Kalinzi NYUMBAN nyie ndo mnaopataga laana pumbafu kabisa
  9. F

    Nampenda sana ila simuelewi

    nenda SUA wanafundisha yote hayo na mapenzi kwa ujumla
  10. F

    Wanaume wengi wanatembea na wanawake chini ya viwango kwasababu hawana magari

    natafuta fedha kwajir ya career yangu kwajir ya familia yng kwajir ya jamii yng inayonozunguka na taifa kwa ujumla ila sio nionekane mfalme kwa wanawake na upuuzi mwingine huo ujinga acha wafanye hao wanyoa viduku wasiojielewa
  11. F

    Vijana Tanzania ni kizazi chenye laana au kimerogwa?

    Mkuu umeandika kwa uchungu sana na ni busara tupu ila hao vijana ambao umewaandikia hawewezi kuja kusoma huu uzi watapita tu ila ungeandika kuhusu diamond na zari au kati ya ali kiba na diamond nani mkali ungeona wingi wa ajabu kweli vijana wa kizazi hichi ni mzigo
  12. F

    Tusaidiane hapa

    kanunue naww kama ni rahisi
  13. F

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu nunua bmw au harrier achana vijigari hvy vya kina mama vya kwendea sokoni
  14. F

    Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

    utaendelea kuwa mchuuzi dar mpaka unakufa, rejea shahiri la darasa la 4 ukitaka mali yapatikana shambani mmejazana dar kufanya vitu ambavyo haviadd value ndomana shilingi yetu inashuka
Back
Top Bottom