maliyatabunyagawa
Member
- Jun 24, 2015
- 22
- 1
ukiona hvo uwe muangalifu wanawke wanamna hii wabaya sana wewe unaweza kujuwa limekwesha kumbe bado analo moyon analifanyia mwisho
inaudhi sanaUwiiii! Hiyo la kosa la January kuongelewa mpaka December ndio inanikera kuliko!!!
Mbn wanawake wengi wanakatabia hako cha mdeko?Huyo anataka umpetipeti.wanawake 2napenda deko we mbembeleze na maneno matamu hlf mgonge vitatu fastafasta uone km minuno haijaisha!
ukiona hvo uwe muangalifu wanawke wanamna hii wabaya sana wewe unaweza kujuwa limekwesha kumbe bado analo moyon analifanyia mwisho
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo kiasi gani basi anakuwa kama kasusa.
Indirectly tukilizungumzia tatizo tukamaliza anadai yuko sawa ila kimtindo kunakuwa na mis-treatment flani anayoidhihirisha hata kwa kauli tu, inakuwa kama namlazimisha kuongea ikiwa yeye hana hamu tena ingawa anakuwa ananijibu on time.
Nimekuja kwenu wanajamvi, kama kuna mtu ana uzoefu na aina hii ya wanawake.Tunaishi nao vipi jamani? How to deal with it! Naona kama nitashindwa kukaza, sijazoea.
Onesha na ww kubadilika badilika akinuna basi na wewe nuna zaidi kama vip ata namba yake futa. Lakini ukijiraisisha ata kupasua kichwa