Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
- Thread starter
- #61
Ntazingatia ushauri wako mkuu,,,thanx alot for concerFanya maandalizi yako mwenyewe. Jijenge kuwa mume na baba bora kwa familia yako. Jijenge kujiandaa na maisha ya ndoa.
My point; Ukifika wakati wa kuoa, hutohitaji kuorodhesha wanawake wanne wa kuoa. Ukifika muda wa kuoa, utamjua!
Usijistress sana kuchagua na kuuliza kwa watu..ukishaona mtu unahitaji kumwombea ushauri kwa watu, jua WITO BADO!!!