Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

Wenzio tunatafuta wanawake wenye akili ya kusaka pesa kama hao, wewe ndio unamtupa? Kweli tumetofautiana sana aisee!
Mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia majukumu akiwa peke yake bila mashauzi na kujitegemea, kwangu ni asset ya maana kuliko chochote.
Mkuu tatizo umri mi na miaka 24 dheni yeye ana 34,We huoni gap lililopo?,Asume nimemuoa atazaa hata watoto watatu kwa umri wake?.
 
Mkuu kama ni bahati weye umebahatika. Ulishaona wale unaoona ni jika lako jinsi wasivyo faa, ukampata huyu, tena wa mtaa wa pili tu. Unamfaham fika, hana makuu, alikuwa kajituliza akila edda yake mpaka ukamstua.

Umeanza biashara na laki 4 chini ya miaka 2 sasa una 11m, jamani, mnataka nini katika maisha ya leo? Nngekuwa sijaoa ningeoa fesha si papuchi. Hizo mbona ziko kila mahali? Ukitaka ya kidhungu au kihind, ila mwanamke mwenye kujua kusakanya tena kwa uaminifu bila kukuibia, mpaka 11m, UTAMPATA WAPI TENA KAMA HUYUuuuuu.

Amua tu mwenyewe, ila mke ni huyu
 
KALINZI NYUMBANI

Kiufupi ni kweli ndoa bila upendo wa kweli ni tatizo,mlichochuma mpe na yeye nusu kisha mwambie wazi na hama maeneo mnayoishi karibu,hiyo ndo cost yako kubwa ya kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine maana mkikaa karibu itakua mtihani kumtenga huyo atakusumbua sana na ukioa atakuletea hata vurugu kukuharibia ndoa,lakini ukiwa mikoani kwingine na yy yupo yupo kwingine kidogo kidogo atakata tamaa na atasahau
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama ni bahati weye umebahatika. Ulishaona wale unaoona ni jika lako jinsi wasivyo faa, ukampata huyu, tena wa mtaa wa pili tu. Unamfaham fika, hana makuu, alikuwa kajituliza akila edda yake mpaka ukamstua.

Umeanza biashara na laki 4 chini ya miaka 2 sasa una 11m, jamani, mnataka nini katika maisha ya leo? Nngekuwa sijaoa ningeoa fesha si papuchi. Hizo mbona ziko kila mahali? Ukitaka ya kidhungu au kihind, ila mwanamke mwenye kujua kusakanya tena kwa uaminifu bila kukuibia, mpaka 11m, UTAMPATA WAPI TENA KAMA HUYUuuuuu.

Amua tu mwenyewe, ila mke ni huyu
Mkuu duu haya bana ngoja niendelee kutafakari.
 
Biashara mmefanya pamoja na kuingiza faida ya milioni 11. Mpe milioni 5 zake kama shukrani yake kwa kuletea faida kisha umwambie ukweli,

"Mimi sina mapenzi kabisa na wewe hivyo siwezi kukuoa nilikuwa nakufanya kipozeo tu tu ili kupunguza genye zangu. Hii hapa ni milioni 5 ambayo ni faida yetu katika biashara tuliyoifanya pamoja." Kisha unasepa zako kimoja.
BAK kwanza kabs atuambie huyo mke ni kabila gani

tupo apa yaani akimtema tu kama huyu mama/binti anampenda yaan atamloga adi akome
atajazwa minuksi adi aone maisha yamesmama...................
hakuna kaitu kibaya kama kucheza na hisia za mtu
 
Back
Top Bottom