Mkuu piga chini haraka hata mimi hayo yalinitokea nikafanya yafuatayo.
Nikawa punguza mawasiliano ya simu na kutuma text, nikaacha kumfatilia kama zamani wala ckutaka nimuoneshe wivu kama zamani hata simu yake nikawa nikikuta busy simind wala kuulza kama zamani, nikawa naishi kigum mpaka yeye akaanza kushangaa, thenly badae automatically nikajikuta nazoea kuishi bila ukarbu wake pia at the same time nikawa natafuta mbadala wake mtu sahihi, so nilipokuja kumpata basi nikajikuta nazama ndio nikatoa na tamko kali kabisa kama la Kamanda Mbowe na UKAWA kwa yule mwanamke wa zamani kuwa its over.