Recent content by franklyhope

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

    a crucker always has a sweet tongue
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya CHADEMA na vyama vya upinzani ni halali lakini ni haramu CCM kuitamani

    Hii imeanza kunitia moyo. Bravooo upinzani
  3. F

    JamiiForums Tanzania Christian ministry registration

    Hagahagahagah! Haya mbokaleo tumwache arudi kwa bwana,ila yeye anajua atamtumikia bwana au BWANA
  4. F

    JamiiForums Tanzania Christian ministry registration

    msikulupuke vijanana. We unataka kufungua ministry then unatafuta msaada jf! Kama unamaanisha omba mwongozo kwa Pastor wako. Ila kama unataka pakuponea njaa endelea,na nikushauri uwatafute freemason kila kitu kitaenda smoothly.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Taka usitake mwakasege ni mtumishi wa Mungu,unayempinga ni sawa na unampinga Mungu maana yeye tunamfahamu kwa kuwa mwalimu wa neno la Mungu.
  6. F

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Ni ngumu kupata jipya katika siasa na utawala/uongozi wa nchi yetu kwa mazingira kama haya. Mlikuwa mnapiga vitu vya siasa vizuri hata matumaini yakaturudi,ni nani aliyeleta ulozi?
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "If you want to be happy for the rest of your life, don't make a beautiful woman your wife!"

    Inabidi muda mwingine ukae ufikiri
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, Vyuo vya ufundi.

    nenda kajaribu veta asome nabe stg1,2,3 walinambia ukifaulu unaweza kujiunga CBE,IFM AU TIA ukafanya diploma. Sijaenda pia kuhakikisha hivyo vyuo. So kwa uhakika fanya kufwatilia huko vyuoni.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda

    Bado hao triple k wanajidanganya. Tz ya sasa si ya jana. Halafu uchumi wa nchi hautengenezwi na husika hapa africa. Wamuulize Mugabe alivyoharibiwa,unadhani hakuwa na resources! Wajipange tena
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote yule anayehitaji line za mpesa nitafute

    Jamani rahisi ghali. Tutafute kwa ma super dealer
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mmoja Mkenya aishtaki Serikali ya Israeli kwa kifo cha Yesu

    so fun. Kesi hii huyu mwanasheria nafikiri anatafuta umaarufu tu. Wangu ushauri omba damu ya huyohuyo yesu ikutakase na kunena mema kwenye kazi yako na hakika utang'ara mno kuliko kufanya hii kesi kutafuta na kuonyesha umahili wako.
  12. F

    JamiiForums Tanzania NABE Stage III

    Hi wapendwa JF. Mi nilifanya vibaya form 4 kwa kupata 0. Nimekuwa na mawazo ya kureseat ila nimeshauriwa nifanye NABE na VETA wameniambia kuwa nikifanya hadi stage 3 nitaweza kujiunga chuo kati ya CBE, IFM, TIA kwa ngazi ya Diploma. Naamini JF kuna watu wengi, naombeni mnipe uhakika wa hiki...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    TRA hawasomeki kiukweli. Calc zao haziendani na uharisia hata uduchu. Bora kununua gari iliyokwama kama hela yako niya kupima
  14. F

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Bravoo mzuzu. Nimesikia graduators wengi wameplan na wako supported na serikali kupitia tanzania investimate jaribu kuwaona
Back
Top Bottom