Recent content by Franklin johnson

  1. F

    Maneno haya yana maana gani JF?

    Na neno Pm linamaanisha nini?
  2. F

    Tecno F7 (Phantom A) vs Samsung Galaxy S2

    Nami nasisitiza kuwa Tecno siyo simu, kamwe mwenye ufahamu katika masuala ya IT au electronics huwezi kuifananisha Sumsang na Tecno, ila wale wenye ugonjwa wa kununua vitu bila ya kufanya tafiti ilimradi nae aonekane ana smartphone huwa wanajikuta wamenunua simu zenye mfano wa smartphone, ni...
  3. F

    Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

    Aliyeuliza hamnazo, Makutupola inahusika na mambo ya RTS, hapo wanaenda tu wale walioajiriwa na JWTZ, pia si kweli kwamba Makutupola kuna mazoezi magumu, huo ni upotoshaji, kama umepitia JKT basi kuna uwezekano mkubwa ukafanikiwa kumaliza miezi minne hadi mitano ya mwanzon wa mafunzo rasmi ya...
  4. F

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Kumbe hata wewe umewabaini hawa watu, kwanza depo la Uhamiaji linafanyikia CCP, Moshi, sio Mbeya, huwa wanafanya na Polisi, sababu Askari wa Uhamiaji ni sawa sawa na hawa Polisi ila tu utofauti upo ktk uniform zao na baadhi ya utendaji kazi zao
  5. F

    Mjumbe aliyelilia iPad Bungeni huyu hapa!

    Huyu si ndiye Mmiliki wa ile Kampuni ya Mabasi na Malori inayoitwa ................!!!!
  6. F

    Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

    HNIC Uzi wako upo kichuki zaidi, hapa si mahala pake pa kuleta stori za vijiweni! Unawezaje kumkosoa mtu bila ya kubainisha sababu?!!!
  7. F

    MNYIKA na AG kukutana leo tuongee asubuhi Star TV

    Heche mjomba wako?!! Wahojiwa ni Dkt Kigwangalla na John Mnyika. Kingwangalla amechenga kujibu swali la posho! Nina shaka nae!
  8. F

    Natafuta pikipiki ya biashara bajeti yangu laki 7 siongezi hata senti

    Kwa bei hyo utapata zile zilizoporwa au kuibiwa kwa mtu!
  9. F

    Kutoka Iramba Magharibi

    Idadi kubwa ya watanzania, wana Siasa za kupenda mtu, si chama!
  10. F

    Jaman Kukosa Ajira Huku...

    Pole, lkn kuna wenzako wapo mtaani tangu 2009, sembuse wewe wa 2011? Kuwa na subira
  11. F

    Viasat 1 au Tv 1 na kipindi cha USAGAJI USHOGA

    Hiyo mdau amewasilisha malalamiko yake mara baada ya kukiona kupitia hyo TV 1, yawezekana hana DSTV, na hata kama angekuwanayo naamini angelalamika tu. Yatupasa kuelewa kuwa usije kufikiria wale wataongea moja kwa moja kuwa tunahamasisha ushoga, bali uhamasishaji wao wanaufanya ki-sophiscated...
  12. F

    TV 1 (Viasat 1) majangaa

    Mimi nilitegemea kutokea kwa makosa kama hayo kutokana na kuajiri watu kwa njia ya kimemo, ajira zao pale ni kupitia vimemo. inasemekana kituo hicho cha luninga kinamilikiwa na wa-Swedeni! Ukiwaweka baadhi ya Afisa Utumishi wa kiswahili bila ya kumsimamia ktk utendaji wake basi tegemea kupata...
  13. F

    Jaman hawa zima moto vipi mbona kimya?

    Kama la kwake halipo, JE jina lako wewe lipo?
  14. F

    Hii ndo Hofu Yangu Juu ya Ajira za Uhamiaji

    Depo la Uhamiaji, Polisi sio gumu, depo gumu ni la JKT au JWTZ
  15. F

    Cheti cha Darasa la Saba

    Wewe ukiona huna vigezo jitoe katika ulingo, waache wenye nia,afu umeshaanza kunitia shaka na elimu yako, pamoja na uchukuliaji wa mambo ya msingi kuyafanya kirahirahisi tu, ndugu husipende kuchukulia vitu kirahirahisi, vitakuja kukugharimu!
Back
Top Bottom