MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
wakuu vyet vipo tena havijajazwa jina la mtu yoyote, ukifika pale wanakujazia. mtu yoyote anaweza kupata chet haijalishi kamaliza mwaka gan?
Taarifa kama umemaliza shule ya msingi kati ya mwaka 1993 mpaka 1999 vyeti vili stop kutolewa na vilianza kutoka mwaka 2000 so be care ..... Unapoenda shule kama umemaliza miaka hiyo utapewa barua tu ya utambulisho
hapana vina,vyeti tayar vina majina,sasa watajuaje kma umemalza shule hyo,kma hakuna jina?mi nimechukua cheti changu kina majina yote matatu,au nyie ndyo mnafog?wakuu vyet vipo tena havijajazwa jina la mtu yoyote, ukifika pale wanakujazia. mtu yoyote anaweza kupata chet haijalishi kamaliza mwaka gan?
HAMJAELEWA TOPIC YANGU?...anayejua umuhmu wa hcho cheti aniambie
HAMJAELEWA TOPIC YANGU?...anayejua umuhmu wa hcho cheti aniambie
Taarifa kama umemaliza shule ya msingi kati ya mwaka 1993 mpaka 1999 vyeti vili stop kutolewa na vilianza kutoka mwaka 2000 so be care ..... Unapoenda shule kama umemaliza miaka hiyo utapewa barua tu ya utambulisho
haah,we nomaKwani cheti cha kuzaliwa kina kazi gani? Umuhimu wake ni nini? Nanio hajui kuwa wewe ulizaliwa? Iwapo cheti cha kuzaliwa kina umuhimu Basi hata cha std 7 kina umuhimu Hoja uliyotoa ni ya kipambafu Inayodhihirisha utaahira ulionao Pambaf zako. Bazazi
hapo wewe ndio mwendawazimu sasa.... ET NINI UMIHIMU WAKE ...? kama huji umihimu wa std 7 chet bhasi wewe ndio chizi/mwndwazimu + mburula ...hey nimepita tuuYani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.
NINI UMUHMU WAKE?
Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU
yani hii serikali ni hovyo sana yani baadhi ya idara kama pccb, uhamiaji wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.
Nini umuhmu wake?
Kweli tz ni kichwa cha tahira na sio mwendawazimu
nimekumbuka Mkuu pia DEPO NI LAZIMA KWA NAFASI YOYOTE UHAMIAJI,MWAKA 1 MBEYA.Zamani ilikuwa miezi 6 sasaivi ni mwaka 1.Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.
NINI UMUHMU WAKE?
Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.
NINI UMUHMU WAKE?
Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU