Recent content by Frankie_ngoka

  1. F

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge "Mabubu" Wakiwa Bungeni!

    Hii list itakuwa edited by Six mwenyewe ndio maana jina lake halipo kwenye main list huku la Naibu Spika likibaki. Wengi wa hawa ni Mawaziri au wakuu wa mikoa, wao wako ndani ya mihimili miwili kati ya mitatu kwa wakati mmoja, yaani ni legislature kama wabunge na wakati huo huo ni executive kama...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mama kuanza kumwomba baba tendo la ndoa, mnaonaje?

    wangapi wanaweza haya maisha? Kimsingi ndoa haikuvunjika bali iliimarika zaid! sina hakika na Gonjwa hili ktk mawimbi ya ndoa hii hilikupata nafasi?????????
  3. F

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge "Mabubu" Wakiwa Bungeni!

    who cares? Halafu wakishaongea ndio iweje? kama wananchi wanaowawakilisha wameridhika nyie kinawauma nini? Halfu dunia hii ya leo sio sifa kusifiwa kwa kuongea bali kwa kutekeleza yale ambayo Mbunge katumwa na wananchi kuwafanyia Who cares?? Eboo mbona kwenye vyombo vya habari wanaongea...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kupunguza usingizi?

    hapo bado hujamsaidia mgonjwa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kupunguza usingizi?

    njia nyingine ni kumpa pesa ukiona hivyo hana pesa huyo siunajua hata biblia imesema pesa ndio majibu ya yote??? waulize wenye pesa kama wanalala note;sio vijisenti ni majinoti
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kupunguza usingizi?

    Msaada mkubwa ni kumshauri alale pema na salama ikiwezekena awahi kulala kabla ya saa moja! pia kama wa kiume asioe na kama wa kike asiolewe maana ndoa itamnyima usingizi alafu wewe umesahahu kwamba "aliyelala usimwamshe???" ugonjwaunaambukiza huo maana huyu niliyenae hapati usingizi wangu ni...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto...

    inamaana bado tu hawajapata uamuzi wa jina hadi leo???? naomba kujua wanaishi pamoja au bado mama wa mtoto yuko likizo ya uzazi???? basi watupe nafasi wana JF tuwatafutie jina nlitegemea wangeufanyia kazi ushauri wetu, kwa sasa wanatumia jina gani kumwita mtoto??
  8. F

    JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    jamani nini kinaendelea?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto...

    ni kaaazi kwelikweli! wapendanao mimi nilidhan wangepewa nafasi kila mmoja wao kuelezea hisia zake, ila kwakua jina ni maisha ya mtoto. wakae faragha maana sijaona sababu za msingi hapo lipi jina linamfaa mtoto ingawa navutika na jina la bibi yake, lakin ni ukweli pia sio jina zuri saaana...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Website ya Dar Young Africans-Yanga

    duuh babu wazo n zuri sana lakin c unajua timu zetu za kibongo yote yatawezekana pale tu timu inapofanya vizuri kama SIMBA kwa sasa huku mhh ngumu umesikia lakin mtibwa leo kapigwa???
  11. F

    JamiiForums Tanzania Website ya Dar Young Africans-Yanga

    mi wajameen nimeshindwa kuelewa lengo ni nini web ya young ua kuanzisha band??? Pepe kale n marehemu gulamali naye hii haiwezi kusaidia c wakati wa kutazama za kale angalien watani wenu waleeeeeeee nini kifanyike ndo nadhan ndo lingekua jambo la msingi
  12. F

    JamiiForums Tanzania Boriti ya Lowassa, Kibanzi cha Sitta

    Na Absalom Kibanda KAMATI maalum ya kutafuta chanzo cha uhasama miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ilimaliza kazi mjini Dodoma mwishoni mwa wiki, baada ya kufanikiwa kupora kwa kiwango kikubwa muda wa vikao vya Bunge la Jamhuri ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Z'bar, Vunja Sheria Uende Zako!

    Na Salim Said Salim WIMBO maarufu wa dansi wa watoto wa mji kasoro bahari, Morogoro, umetokea kupendwa kwa mantiki yake juu ya hali halisi ya maisha. Kilichopendwa hasa ni ile tahadhari iliyotolewa inayosema, "Tenda wema wende zako…usingoje shukurani." Lakini, uzoefu mpya wa maisha hapa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Richmond: Sitta anahusika pia?

    • Yabainika aliwasiliana na mkurugenzi wake mwaka 2001 SAKATA la Kampuni yenye utata ya Richmond Development LCC iliyoshindwa kuleta jenereta za kuzalisha umeme wa dharura, linazidi kuchukua sura mpya kila kukicha, Tanzania Daima Jumatano imebaini. Baada ya sakata hilo kulitikisa taifa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania introduction

    frankie,in,da,house
Back
Top Bottom