Kuna dawa ya kupunguza usingizi?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Wana JF, naomba msaada, hivi kuna dawa ya kupunguza usingizi? Kuna ndugu yangu yeye ikifika saa moja jioni tu basi hawezi kujizuia! Atalala mpaka asubuhi na hapo usiku katikati wala hastuki! Nimsaidieje?
 
Mh!
Enjoy This

weekend-15.gif
 
Wana JF, naomba msaada, hivi kuna dawa ya kupunguza usingizi? Kuna ndugu yangu yeye ikifika saa moja jioni tu basi hawezi kujizuia! Atalala mpaka asubuhi na hapo usiku katikati wala hastuki! Nimsaidieje?

Msaada mkubwa ni kumshauri alale pema na salama ikiwezekena awahi kulala kabla ya saa moja! pia kama wa kiume asioe na kama wa kike asiolewe maana ndoa itamnyima usingizi alafu wewe umesahahu kwamba
"aliyelala usimwamshe???" ugonjwaunaambukiza huo maana huyu niliyenae hapati usingizi wangu ni wa kiume wako je?????
 
Sometimes it is better not to have a friend at all.
Coz if you have one, he i/she is gonna advise you like FN!

SHAME ON YOU!

Were it me, i would keep silent...absolutely!..huh!
 
Msaada mkubwa ni kumshauri alale pema na salama ikiwezekena awahi kulala kabla ya saa moja! pia kama wa kiume asioe na kama wa kike asiolewe maana ndoa itamnyima usingizi alafu wewe umesahahu kwamba
"aliyelala usimwamshe???" ugonjwaunaambukiza huo maana huyu niliyenae hapati usingizi wangu ni wa kiume wako je?????

njia nyingine ni kumpa pesa ukiona hivyo hana pesa
huyo siunajua hata biblia imesema pesa ndio majibu ya yote??? waulize wenye pesa kama wanalala note;sio vijisenti ni majinoti
 
I think we shall have to review our members list sometimes in future!

We cant afford to drug with us a luggage of this kind!

Embu mwenyewe soma unavyoandika hapo...! Unatumia kichwa?

Mimi mwenyewe really sijamsaidia muulizaji, i admit to it, but i didnt comment the OFFALS of your type...huh!
 
Kabla hajalala anywe kahawa na pia aanze kufanya mazoezi kwani huwa yanaondoa sana usingizi.Maumivu yakizidi amuone dakitari.
 
Anahitaji maombi huyo!

ikifika saa moja jioni tu basi hawezi kujizuia! Atalala mpaka asubuhi na hapo usiku katikati wala hastuki!

Mlete kwa viongozi wa dini tumwombee...Kama ni msichana niPM details zake

Amina
 
Usingizi wa nanma hiyo unaweza kuwa ana fatigue, anywe maji mengi na apige tizi kama vipi ani PM nitampa msaada wa mazoezi bure aina ya aerobic ni mazuri kwa mtu kama yeye, asifanye weight lifting kwanza.
 
Msaada mkubwa ni kumshauri alale pema na salama ikiwezekena awahi kulala kabla ya saa moja! pia kama wa kiume asioe na kama wa kike asiolewe maana ndoa itamnyima usingizi alafu wewe umesahahu kwamba
"aliyelala usimwamshe???" ugonjwaunaambukiza huo maana huyu niliyenae hapati usingizi wangu ni wa kiume wako je?????

sasa kuna uhusiano gani katika kulala na kuolewa? kwani wanandoa hawalali?
 
Kunywa coffee mida ya jioni inasaidia,hata mie mwenyewe zamani nilikuwa na tatizo la kulala mapema kama ndugu yako. Lakini baada ya kupendelea kunywa coffee tatizo likatoweka kabisaaa!!!
Hivi sasa cha ajabu nimekuwa sina usingizi kabisaaaa, sometimes hadi najilazimisha kulala.
 
thanks, i'll tell the guy
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom