Recent content by Frank mtanganyika

  1. F

    JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    In short makunganya bado ni kijiji kina watu ila sio sehemu iliyochangamka sana kama mkundi mwisho, naona fursa za malazi hasa guest houses kwa namna watu wengi wanavyomiminika kutokana na fursa ya ugunduzi wa dhahabu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Hapo bado hata guest hakuna ni nyumbani kabisa mama angu yuko hapo mita kama 100 tu machimbo yalipo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Shida kubwa ya arsenali ni consistency ya ushindi. Wanaweza wakaanza vizur sanaa ila wakaja kupoteana kipindi ambacho walitakiwa kufanya vizur.. Kinachokosekana ni winning spirit hakuna kwa wachezaji hakuna watu ambao wataenda na kuamua kuipambania timu kufa na kupona, Hii spirit iko ndani ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    App gani naweza angalia mpira live
  5. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Chadema inarahisiwa kazi heche angepita na huu upepo. Mbona kazi simple kabisaaa hiii ushindi asubuhiiiiii.... ( sauti ya bwege)
  6. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Alafu hawa ni sukuma gang imeamua kushambulia vilivyoo. Yaani laiti mwamba angekuwa uraiani mweshima raisi wa nchi na mkombozi pekee wa nchi bwana tundu antipus Lisuu hiiii hiii( in magufuli voice). Hii front 3 kushoto gwajiboy winga teleza, kulia polepole, winga machachari alafu kati...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa dalili nazoona kama Diaz akiuzwa kwa 80 km tunayotarajiwa basi isak huyu hapa, sioni kama tukisalia lw uzuri huyo elikite ni versatile anacheza namba zote pale mbele
  8. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja kwa ajili ya makazi au biashara, vilivyopimwa katika miji ya Arusha na Moshi

    maiili 6 sehemu gani umbali mpaka lami ukoje, ukubwa je
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tumia mianzi bamboo kama mbadala wa nondo kwenye zege wakati wa ujenzi

    mtoa mada ni vyema andiko lako liwe na nyama ya kutosha kuna watu watalipinga kwa sababu hawaelewi na umeshindwa kuwalewesha vya kutosha. kwa proof zaidi za wapi mianzi imetumika na kuleta matokeo. na wewe unayebishi unaongea wakati hujui structure stability ya mianzi si kwa sababu haujawahi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    watutsi ni watu majasusi na hatari sana usione kagame anakoroma kwa ukanda huu ametambaza spy mbaya
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    usisahau kueleza pia ni nyumba zinazohitaji uwe umejipanga vizuri kigarama kwa sababu cost yake hasa kwa ujumla ni zaidi ya nyumba ya kawaida.. hili ni vyema watu waelewe kisaikolojia usijenge nyumba za kuficha kwa mtizamo wa kupunguza garama.. itakugarimu kama inajenga kwa kupenda design basi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Dah sio kwa ubaya ila Ukishindwa Nabaki, alaf au sunshare achana na hizo takataka nyingine utakuja kulia kilio kisiokosa jina. kuna nyumba imepauliwa na bati za hiyo kampuni hazina hata miaka mitatu bati zimepauka balaa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba aliyetoka Mahabusu akaibukia Ikulu

    G sijui 55 ndani ya wiki hizi hizo mwamba anakamatwa baada ya zile kelele za G55 kushindwa kumzuia sijui nataka kumaanisha nn lakini kwa jicho la tatu. kunaconnection ya kelele za genge la walamba asali na watu wasystem inawezekana.. kuna jinsi ambavyo mbinu za kuzuia harakati za mwamba kwa njia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wameamua kumkamata

    mimi si mtu wa siasa ila huyu TL ananikumbusha stori fulani ya mchungaji mmoja anaitwa Father of pentecost kule naijeria Bishop idahosa, kulikuwa na kongamano kubwa litakalo kutanisha wachawi wote duniani wakutane Nigeria, yule bwana hili lilimuudhi sana yeye kama mtumishi wa Mungu kwa nini...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    mkuu kongole sana kwa huu uzi I salute you, mm ni mtaalamu wa ujenzi ila sijui kila kitu with due respect nadiriki kusema uzi wako umekuwa shule tosha kwangu. ( huwa nakuja hapa kuongeza nyama nyama kwenye Ile knowledge ndogo ya ujenzi niliyonayo ). keep it up bro nikipata mteja wa ramani...
Back
Top Bottom