Zamani ilikuwa waumini wa dini zote wanahimizwa kumcha Mwz'Mungu. Lakini siku hizi wanahimizwa mno kutoa sadaka ili Mungu akulipe kwa njia ya kuboresha biashara yako, maisha yako,upate utajiri, na kadhalika. Kwa ujumla binadamu wa sasa wote wapo kimasilahi zaidi. Imani imebaki kwenye michango...
Naona ni wakati muafaka sasa kwa JPM kuanzisha utaratibu kama ule wa mzee Ruksa wa kukutana na watu wenye kero. Naamini watu wanakwamishwa sana haki zao na wamekosa mtetezi wa kweli hasa wajane,wakulima,wafugaji,wafanyakazi wa sekta binafsi n.k. Dada Swabaha amewawakilisha wengi wanaokwamishwa...
Hata Pope alipigwa risasi na alimsamehe aliyempiga. Ila nikutakie sfr njema na yenye mafanikio KIROHO. Unatakiwa uwe na matendo mema kwa binaadamu wenzio bila kujali imani zao. Usijikute unaingizwa kwenye utaratibu wa kwenda kujitoa mhanga eti kwa ajili fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.