Zamani vs kisasa

Zamani vs kisasa

Zamani ilikuwa ukachukua mtoto wa kike kumdoo hadi uone kichaka, siku hizi ukichukua mtoto wa kike ukikatisha nae kona moja mbili gesti kibao
 
Zamani Guest ilikuwa ni nyumba za kulala wageni, lakini sahivi ni nyumba za kulala wenyeji
 
Zamani tulijua watoto wanannulia sajv hat mtoto hajaanza nursery anajua mtoto anapatikan vip
 
Zamani wanawake walikua wanavaa skin-tight Kama nguo ya ndani siku hizi wanajiachia nazo katikati ya jiji
 
Zamani Guest ilikuwa ni nyumba za kulala wageni, lakini sahivi ni nyumba za kulala wenyeji
Du mkuu umenikumbusha mbali sana,

Ninakumbuka bibi yangu mzaa baba alikuwa anatuasa kabla ya kulala "mtoto wa kike haruhusiwi kula ovyo, hata kama una njaa inatakiwa ujistiri, lakini nyinyi mnakula barabarani mara ice cream" mwenyewe akiita shikilimu, "mara mihogo mara chips, mmeingizwa hotelini kula, haya mtoto wa kike wewe huna kazi unaingia hotelini kula, malipo mnamalizia guest, posa ikiletwa aibu tunaona sisi".
 
Zamani wanawake walikuwa wanavaa underskirt ziku hizi hata chupi hawavai wanasema joto eti
 
Zamani ilikuwa ni vigumu kutongoza ....kwa sasa ni pesa yako tu....!!
 
Zamani ilikuwa waumini wa dini zote wanahimizwa kumcha Mwz'Mungu. Lakini siku hizi wanahimizwa mno kutoa sadaka ili Mungu akulipe kwa njia ya kuboresha biashara yako, maisha yako,upate utajiri, na kadhalika. Kwa ujumla binadamu wa sasa wote wapo kimasilahi zaidi. Imani imebaki kwenye michango ua harusi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom