Recent content by FRAN.K

  1. F

    Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

    Comments zinazotoka kwenye hii thread inaonyesha ni kwa kiasi gani hii dunia ya sasa inaelekea kizazi kile cha sodoma na gomora...hivi with all due respects...wagonjwa wa akili wangapi tunaona wanaishi na kusali na kwenda kanisani..toka tumezaliwa tuna mental cases ngapi wanafanya vitu kama...
  2. F

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Yaaani wewe pumba kabisa na zero ulisoma shule gani?...mpaka leo huelewi umuhimu wa bandari na reli kwa uchumi wa nchi na faida ya mwananchi mmoja mmoja...kwa akili yako ulidhani Rais angeanza kukagua Halmashauri ya Wilaya ya kwenu mapato ya ushuru wa kuuza mbuzi na kuacha wizi wa...
  3. F

    Askari auawa kwa kisu na mtangazaji wa redio

    Aisee uko sahihi kabisa BABATI kuna watoto wazuri jamani acheni tu inzi afie kidondani...sio kosa lake
  4. F

    African Unity: Did Nyerere frustrate Nkrumah's Pan-Africanist Visions?

    Nimejaribu sana kuwa neutral ili niweze kukuweka katika mzani gani wewe SAHIBA ila nadhani kuwa fair naweza kusema una"KAUJINGA" fulani ka historia ya Africa....thts is much fair i can be
  5. F

    Ajali Ubungo, Dar: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka!

    Hiyo barabara yao BRT ina tatizo zinapokutana lanes hizi 3 kuna tuta tatizo hawajaweka alama yoyote ya kuonyesha kuna tuta au hata kupunguza speed,..nimeshalivaa mara nyingi tuta la kutokea baruti kuna kimteremko kizuri sana ukiwa unaenda kimara ukianza kupandisha unajisahau kabisa halafu hatari...
  6. F

    Ajali Ubungo, Dar: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka!

    Kweli huyo kaja na mpya chezea NECTA
  7. F

    Ajali Ubungo, Dar: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka!

    Mjomba ukiacha mita 6 kuanzia kimara unapofika ubungo gari kama 30 tayari zimeshachomekea mbele yako... Bongo ni law brokers but tuko very quick kublame
  8. F

    Diallo amlipua Lowassa

    1.Alphatel 2.Alpha Schools 3.Alpha house Mwaka huu tongotongo zitatutoka sana machoni sababu ya hizi mbio zao
  9. F

    Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

    Haaaa umenikumbusha kemia ya enzi za mabala ze farmer....being frozen is just a physical change when heat is applied then it will unfreeze and return to its original state....tuombe kama wamefreezia kwenye fridge la masaki basi wakaunfreezie kwenye bakula la watoto wa wakulima wa kule mbagala
  10. F

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Nyie waandika thread wengine hatuwaelewi...SWALI LA MSINGI NI ALIMBAKA HUYO MTOTO AU HAKUBAAKA...sisi hatuna haja ya kujua maswala yao ya ndoa ya huko uingereza kwani wakati yanatokea nani aliambiwa ama alienda kuripoti wapi kuwa mkewe anatoka na Gwajima....kwa maelezo ya huyo mtoa thread wa...
  11. F

    Yajue magari vimeo: Ukikatiza garage lazima utalikuta bovu

    Kaka mi hiyo gari nataka kuinunua ila nashukuru umenipa uhakika zaidi maana maneno ya wabongo ukisikiliza kila kitu hutanunua gari..zote utaona vimeo
  12. F

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Naona watu hamna historia nzuri ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.......Naona hamfahamu kabisa hata huyu Kagame naye kwa kiasi kikubwa anahusika na yale mauaji ya Rwanda...someni tena historia vizuri then mje kivingine.......Anakataa kuzungumza na wauaji wakati yeye pia ni muuaji mkubwa...
  13. F

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Yaani naipenda chadema lakini katika hili naanza kuamini huyu mzee anazeeka vibaya.....Huwezi kumkosoa Rais wa nchi yako na kumuegemea foreigner katika jambo linalohusu maslahi ya nchi...naona nakosa imani naye iwapo atakuja kuwa kama Rais.....katika hili amechemka sana
  14. F

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    KWELI TELL PEOPLE WHAT THEY WANT TO HEAR....and cohere with their demand at on request even if you know you wont be able to fulfill them........na hiyo ndiyo ilikuwa technic ya Prof wetu MKANDALA pale UDSM kila tukigoma...utasikia tu yote mliyoongea ni kweli kabisa hata mimi naona ni mattizo ya...
  15. F

    Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

    tukumbuke na shule kidogo......its true protein haiongezi nguvu ile ni "ujenzi" wa mwili kwa ujumla repairing of broken tissues and make up of new tissues especially for the new borns.....Nadhan watu wanachanganya sana kudhan karanga inaongeza nguvu za kiume naona kwa wengi ambao hawana elimu ya...
Back
Top Bottom