Hii hasara nyingine kwa taifa, yaani mtoto wa kidato cha pili anashinda baa, tena saa tano usiku!!!!! Kweli wazazi wameisha kama hali iko hivyo.
Hii hasara nyingine kwa taifa, yaani mtoto wa kidato cha pili anashinda baa, tena saa tano usiku!!!!! Kweli wazazi wameisha kama hali iko hivyo.
Pimbi we!! Huyo binti kazaliwa na shule ya kata? Hiyo shule ya kata imempeleka baa usiku huo wa sa5???Shule za Kata hizo mwanangu!!
Wewe ndo pimbi maana hujaelewa nilichokuwa namaanisha! Ndo maana huwa mnafeli mitihani!Pimbi we!! Huyo binti kazaliwa na shule ya kata? Hiyo shule ya kata imempeleka baa usiku huo wa sa5???
simlaumu huyo askari huko babati kuna watoto wakareee(wazuri) hatareee
Hata kama ni shule ya kata sio tiketi ya mtoto kuwa mpumbavu badala ya kuwa mjinga.
Hata akiwa ka disco. chuo. . . . .humu mwabishana najua hamjui watoto watoto weng wanamaliza form four then anafeli anarud form two ucje kuta na huyo yupo hvyo hvyo na umri umeenda kushinda bar kwake kawaida