Recent content by fr3

  1. fr3

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    Nchi hii ni yetu sote, awe amekopi au hajakopi sie wana nchi tunahitaji amani zaidi ya kila kitu ,
  2. fr3

    JamiiForums Tanzania Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Ivi kumbe tunamaeneo mazuri ya Utalii namna hii,Tupende vya kwetu asante
  3. fr3

    JamiiForums Tanzania Nataka kutuma maombi ya usahili ili niweze jiunga na chuo cha Mifugo

    Asante sana japo naweza jaribu
  4. fr3

    JamiiForums Tanzania Nataka kutuma maombi ya usahili ili niweze jiunga na chuo cha Mifugo

    Naomba kuuliza Nataka kutuma maombi ya usahili ili niweze jiunga na chuo cha Mifugo au cha Misitu, mwisho wa kutuma maombi ni lini? kwani nilikua nasubiria secondsellection lakini sijachaguliwa tafadhali naomba msaada
  5. fr3

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu na Alama zake

    Ushauri mzuri asante
  6. fr3

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu na Alama zake

    Asante kwa ushauri japo namna yakumpata mfadhili, isitoshe ni Mtoto wa kike.
  7. fr3

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu na Alama zake

    Habari zenu wa jf, Nina mdogo wa Rafiki yangu wa form4 hawa waliomaliza juzi alifaulu kwa Division 3, kombi zote zimebalancy tatizo hajachaguliwa na pesa hana zakumpeleka private,anaomba ushauri kwa alihitaji mdogo wake ampeleke chuo cha TANAPA lakini ajui afanyeje! Ushauri please
  8. fr3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Hii hbr ni ya kweli kama ninavyoendela kuisoma kwenye mitandao, kama ni kweli Kenya imepiga hatua sana tuifananishe na marekani
  9. fr3

    JamiiForums Tanzania Programming ya Funguo za Magar Zenye Sensor

    passo unatengeneza kwa bei gani sensor
  10. fr3

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma asitisha kazi ya kuhamia mkoani humo kwa siku 14

    jamani tutambue kua kuamisha familia kutoka nyumba ya kupanga na kwenda kupanga kwingine ni kazi kubwa, je kuamisha serikali ni jambo raisi? najaribu kuchekecha.....
  11. fr3

    JamiiForums Tanzania Ajali ya kutisha maeneo ya Jeti jijini Dar es Salaam

    Ni nani ajuaye siku zake za kuishi,Ni mola peke yake, ivyo usiukumu mtu ujui wewe unaweza kumtangulia
  12. fr3

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

    ILI NI JIPU ZAIDI YA DONDA NDUGU LAFAA LIBINYWEE KWANI LIMEWIVAAAAA
  13. fr3

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo alikua mpiganaji wa siasa za nchi yetu
  14. fr3

    JamiiForums Tanzania Hata hujatolewa mahari unahamia kwa mwanaume

    Napita tu,naanza jifunza karet mapema
  15. fr3

    JamiiForums Tanzania Maziwa fresh, Kiswahili chake ni nini?

    yanaitwa mabereee
Back
Top Bottom