Hata hujatolewa mahari unahamia kwa mwanaume

Hata hujatolewa mahari unahamia kwa mwanaume

Moyo ukipenda upe.....binafsi hata nktaka kutolewa mahari leo it's possible ila ndo hivyo I don't love them,then one I love he's not ready and I can see that y shudnt I wait?! Kuhamia mja kwa mja siwezi but nkipataga nafasi we stay as long as I want,muda ukifika tutabariki ndoa yetu.



You can't buy love bcoz when it's real it become priceless
 
Mkachunguze kwanza wazazi wenu walifuata hayo kabla? Haya mambo sio mapya, yapo tangu kale. Uchagani wanaweka begani kisha wanatuma wazee wakatoe taarifa binti yenu yupo kwetu period.
 
N'likuwa naongea na rafiki angu wa Kichina...amezaliwa '88 na wazazi wake wameshaanza kudata eti amekosa wa kumuoa...akauliza kama na kwetu hii pressure ipo...nikamwambia ipo sana...ni wachache wasiojali...

Ila alichonichekesha ni kusema kwao both mwanamke na mwanamme aliyepita age Fulani anaitwa 'leftovers'..
Na kuna kona wanayokutana wazazi (hasa ma mama) wa leftovers kuwatafutia watoto wao waume/wake...huku wameshika picha za watoto wao...

Na hilo (according to yeye) linachangia rate ya divorces China....

Ananichekesha anasema alipokuwa na umri wa kuanza ku date wazazi walimwambia asome aachane na wanaume....leo hii anamalizia PhD wanaanza kumtisha kuwa soon wataanza kutembea na picha yake kumtafutia mume...

Katika hili wanalaumiwa wanawake tu kwakuwa desturi inaonyesha hivyo lkn pia kuna wanaume ama vijana wanao hamia kwa wenza wao kabla ya ndoa hili pia linawahusu

Nakubaliana na hoja kwa maana ya misingi ya ndoa na taratibu za kiimani lkn kwa upande mwingine amabao ndiyo unaleta athari zaidi sikubaliani sababu kwa mazingira ya sasa kuna umuhimu wa kuwa na muda wa kutosha kufahamiana japo haufai kuwa mrefu sana, maana tumeona kuna ndoa nyingi zimevunjika kwa sbb ama wanandoa hawakupata kufahamiana vya kutosha hivyo inatoa fursa ikiwezekana kuishi pamoja kwa kipindi cha muda mfupi ili kila mmoja kutambua mwenzake anafaa kuwa mwenza wa ndoa ama la
 
Napita tu,naanza jifunza karet mapema
 
Watu wanahamia ili kuwahi nambaaaaaaaaaaaaaaaa.

Jambo la ajabu unajihesabu umewahi namba lakini mwanaume macho na akili vipo kwa fulaniiiiiii, mwisho wa siku unaambulia maumivu ya moyo tu.


Cc: ICHANA na atoto!
 
Last edited by a moderator:
Ndio...cjalipa mahari na sina huo mpango!! Sina mpango wa kumnunua MTU....na kwa maneno yake mwenyewe anasema ana furaha ya ajabu....nimempa mambo meengi yenye thamani mara maelfu ya mahari! Best hakuna formula uku!!

Sawa usije ukamtimua tu ni ombi langu kaa nae mpaka milele
 
Pierre tall nakuunga mkono apo na ukiangalia sana ndoa nyingi zinazovunjika ni izo fresh
 
Tafiti zinaonyesha walio wengi huishia kufukuzwa hata kama wamezaa watoto kisa tu hajatolewa mahari kama njia ya kwenda kanisani Au msikitini
Hiyo tafiti yako haiendani na ulichozungumza as main hoja ambayo inajadiliwa.....kuzaa ni jambo lingine ambalo yamkini kuna wanaozalishwa wakiwa kwao na pengine tuseme kuna wanaowahi kuzaa...hapa tunazungumzia WATU KUISHI PAMOJA kabla yakuoana....
 
Hiyo tafiti yako haiendani na ulichozungumza as main hoja ambayo inajadiliwa.....kuzaa ni jambo lingine ambalo yamkini kuna wanaozalishwa wakiwa kwao na pengine tuseme kuna wanaowahi kuzaa...hapa tunazungumzia WATU KUISHI PAMOJA kabla yakuoana....

Ndio kuishi pamoja kabla ya mahari inaleta shida kubwa mno hasa wanawake wanateseka sana kupitia hii kitu pale waume zao hao wanapochizika na kuamua kuwatimua
 
Unajua wewe unamatatizo siku hizi.

"Una matatizo najua, nami nna yangu huku...we sit together from this moment we see them through..."

Hahahaaaaa! Mhanga mwenzio ati?

I'm only RESPONSIBLE for what I say
A%20S%20100.gif
A%20S%20100.gif
NOT for what you UNDERSTAND.
 
"Una matatizo najua, nami nna yangu huku...we sit together from this moment we see them through..."



I'm only RESPONSIBLE for what I say
A%20S%20100.gif
A%20S%20100.gif
NOT for what you UNDERSTAND.

Mim sina matatizo bhana!! Labda atoto anayo. Mim akuuu!!! Moyo wangu kila siku sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom