Recent content by FPGabi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

    Number 3 futa neno atauwawa hakulisema
  2. F

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mimi nipo Tanzania

    Endelea kujifunza elimu haina mwisho
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

    Fedha iliongea
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

    Walikuwa wote kwenye mckatako wa katiba could be sababu ya ukaribu wao
  5. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa wema au ubaya, tusimsahau Magufuli

    Kwa kweli hakuwa malaika ana mabaya yake pia mazuri yake Lets treasure mazuri yake na mabaya kumsamehe na kumuombea
  6. F

    JamiiForums Tanzania Somo: Magufuli alijaribu hata kumnyang'anya Askofu Niwemugizi Uraia wake, Mwisho wa siku Ndiye akiongoza Ibada yake ya Mazishi

    Kuna funzo apo dunia tunapita usikanyage wenzio
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Ni mda mwafaka kufufua aya mashamba maana Russia na Ukraine ile vita sioni dalaili za kuisha
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Washazoea kucheka cheka saivi action zinawakera....hapa kazi tuuu hutaki pita ivi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

    Waambie hao hawajui PHD lazima uidefend mara tano...sijui mlimsaidia..
  10. F

    JamiiForums Tanzania HomeShopping: Namna walivyokuwa wanapiga Madili Bandarini Pasipo Kulipa Kodi

    walijua anaekuja ni mwiba hawatoeza kukwepa kodi kwahiyo hakuna namna zaidi ya kusema ETI WAMEFILISIKA....mfyuuuuuubh.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nilichofanya leo Mlimani City

    Kaka wewe ni jasiri sana na watu kaama wewe.ni wachache...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Jaman mambo ni taratibu anaanza mdogo mdogo..tutafika tuu acheni kukebeh kila.kitu muweni na adabu..mtu akifanya jambo zuri nivema.kumpongeza sio kila akifanya kitu mnaanza kumchambua kisa tu hayupo upande wako..ungepewa.wewe ungeweza...?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Kweli kabisaa ata mm najiukizag uyu dada ni wakazi gan au nae usalama ....ila anafaa sana maana yuko serious sana kakaza uso kama gumegume hachek safi sana...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Kunya anye kuku akinya bata kaharisha...
Back
Top Bottom