Recent content by Foxer

  1. Foxer

    Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

    Kwa uelewa wangu nlioupata kupitia mada mbali mbali humu ndani mi najua Tanzania hatuna hicho kitu maana ukiangalia Ma -Rais ambao walinzi wao hutembea na hizo briefcase wote ni Ma-Rais wa nchi zinavomiliki silaha za nyuklia kama sijakosea mfano Marekani, China, Urusi, South Korea , North Korea...
  2. Foxer

    Hivi "Weusi" wanaimba lugha gani wadau kwenye nyimbo zao?

    Sio lugha rasmi ni rejesta za mtaani zinazotumika sana Arusha
  3. Foxer

    KITUMBUA CHA SHEMEJI YENU KITAMU.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiponyi badala ya kipochi
  4. Foxer

    Natafuta Infinix Used

    [emoji23][emoji23]kwann unasema ivo mkuu
  5. Foxer

    Natafuta Infinix Used

    Wakuu natafuta infinix note3 pro ama infinix note5 kwa bei ya maelewano (sio ya dukani) Location npo Dar es salam
  6. Foxer

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu natafta infinix note5 ama infinix note3 pro muuzaji njoo tuelewane bei
  7. Foxer

    Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

    Alikua TANU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Foxer

    Hii ndiyo tofauti kati ya mke wangu na mchepuko wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Foxer

    Mtandao gani wenye bundles za internet bora?

    Mkuu mbona halo wapo hovyo au labda cjui namna ya kupata hivo vifurush maana nna line ya chuo ila napewa mb 800 kwa wiki akat voda wanatoa gb 2 moja mchana nyingine usiku
  10. Foxer

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Hilo daraja litazuia meli zinazoingia bandarani
  11. Foxer

    Mume wangu ana kibamia

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  12. Foxer

    Hizbullah wajitapa: Jeshi la anga la Israel haliwezi kuzuia makombora yetu

    Daaaaah et wasianze kulalamikia haki za binadamu
Back
Top Bottom