Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

Wasalaa wana JF.

Kwanza mnatakiwa kujua kuwa kwa sasa kila mtanzania ni mpelelezi na ni mtaalam wa kila jambo.
Lakini Mh Zitto ni mtaalam wa kila jambo na kila idara na kila sekata
Mh Zitto alianza uongo zamani si leo kwa hiyo nilipoona jana ana msingizia hadharani Sirro ili kupata umaarufu sikushangazwa.
Kwanza nilijiuliza ni sehemu gani siro alisema zile picha zilipigwa kutoka kwenye CCTV?

Lakini bahati mbaya zaidi kwa Zitto aliyekuwa analitumia hili jambo kupata umaarufu kisiasa Ndugu yetu Mo amepatikana lakini hii ni hasara kwa zitto kwakuwa angelipenda jambo hili lisiishe ili aendelee kukiki''
Lakini kwa upande wa Lema yeye alikuwa ana andikiwa hotuba na Lissu nakutumiwa aisome ili chama kiendelee kukaa midomoni kwa watu...

Hasara ya kudandia vitu vya muda mfupi ndio hii hili jambo limekwisha haraka sasa Zitto na Lema wamepata hasara kwa kuwa wao lengo lao ilikuwa si kufanikisha Mo kupatikana bali ni kuhakikisha wao wanaendelea kupata kiki..

Wasalaam

kama unaamini Zitto ni MUONGO Kwanin asikamatwe na kushitakiwa?
 
Hilo lijamaa la kujiteka halina uwezo wa kuomba msamaha kwani kufanya hivyo ni rehema kwa Mwenye Enzi Mungu walahi
Na Zitto hana hizo rehema yeye ni wa ku fyeeekelea mbali walahi
 
Wasalaa wana JF.

Kwanza mnatakiwa kujua kuwa kwa sasa kila mtanzania ni mpelelezi na ni mtaalam wa kila jambo.
Lakini Mh Zitto ni mtaalam wa kila jambo na kila idara na kila sekata
Mh Zitto alianza uongo zamani si leo kwa hiyo nilipoona jana ana msingizia hadharani Sirro ili kupata umaarufu sikushangazwa.
Kwanza nilijiuliza ni sehemu gani siro alisema zile picha zilipigwa kutoka kwenye CCTV?

Lakini bahati mbaya zaidi kwa Zitto aliyekuwa analitumia hili jambo kupata umaarufu kisiasa Ndugu yetu Mo amepatikana lakini hii ni hasara kwa zitto kwakuwa angelipenda jambo hili lisiishe ili aendelee kukiki''
Lakini kwa upande wa Lema yeye alikuwa ana andikiwa hotuba na Lissu nakutumiwa aisome ili chama kiendelee kukaa midomoni kwa watu...

Hasara ya kudandia vitu vya muda mfupi ndio hii hili jambo limekwisha haraka sasa Zitto na Lema wamepata hasara kwa kuwa wao lengo lao ilikuwa si kufanikisha Mo kupatikana bali ni kuhakikisha wao wanaendelea kupata kiki..

Wasalaam
Kwani Ziitto si alikua anapigania Mo arudi au we ulitaka akae kimya? Kelele za kina Zitto na watanzania wengine ndio zimezaa haya matunda ya kupatikana kwa Mo. Bila misimamo ya watanzania huenda hadi leo angekua kashikiliwa tu
 
Wanasiasa waongo ni hatari kwa usalama wa Taifa.
 
Vijana wa lumumba katika kusaka tonge.
Buku 7 kwa cku
 
kama unaamini Zitto ni MUONGO Kwanin asikamatwe na kushitakiwa?
Zitto ana msongo wa mawazo na sasa hivi njia iliyo tumika ni kumpuuza....hebu muulize ile list ya walio fiacha pesa uswisi iko wapi?
 
Wasalaa wana JF.

Kwanza mnatakiwa kujua kuwa kwa sasa kila mtanzania ni mpelelezi na ni mtaalam wa kila jambo.
Lakini Mh Zitto ni mtaalam wa kila jambo na kila idara na kila sekata
Mh Zitto alianza uongo zamani si leo kwa hiyo nilipoona jana ana msingizia hadharani Sirro ili kupata umaarufu sikushangazwa.
Kwanza nilijiuliza ni sehemu gani siro alisema zile picha zilipigwa kutoka kwenye CCTV?

Lakini bahati mbaya zaidi kwa Zitto aliyekuwa analitumia hili jambo kupata umaarufu kisiasa Ndugu yetu Mo amepatikana lakini hii ni hasara kwa zitto kwakuwa angelipenda jambo hili lisiishe ili aendelee kukiki''
Lakini kwa upande wa Lema yeye alikuwa ana andikiwa hotuba na Lissu nakutumiwa aisome ili chama kiendelee kukaa midomoni kwa watu...

Hasara ya kudandia vitu vya muda mfupi ndio hii hili jambo limekwisha haraka sasa Zitto na Lema wamepata hasara kwa kuwa wao lengo lao ilikuwa si kufanikisha Mo kupatikana bali ni kuhakikisha wao wanaendelea kupata kiki..

Wasalaam
Wee banyamulenge pamoja nakuuzoea ujinga wako, ebu jisitiri kidogo. Wapi ambapo IGP au jeshi la polisi limempata MO?

Mo kapiga simu kwa familia yake wakamchukue.
Poilisi wanasema gari ile ile ndiyo imempeleka gymkana; mbona wasiikamate na kuwakamata watekaji?
Nyinyi na misukule yenu mna taabu sana. Achana na Zito endelea na kichaa na bashite.
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Unaendelea kutupotosha tu, we ndio msemaji wa zirro
 
awamu ya tano wapambe ndio wanatoa ufafanuzi
maelezo ya mabwana zao ambao wakiongea hunena kwa lugha
huwa yana usentiment wa uzero
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
We ni mke wa Siro? Yawezekana alikusimulia mkiwa mmelala
 
Hayo ni maoni yako, Siro aliongea bila kufafanua
Maoni yake yenye uhalisia. Wewe ulitegemea igp akutajie neno baada neno ya kila kilicho fanyika ndani ya siku 8! Una utoto ndani ya kichwa chako.
 
Back
Top Bottom