Recent content by FOdd

  1. FOdd

    Kununua laptop mtandaoni ebay

    Aise kimbia boss
  2. FOdd

    Arusha Nafasi ya kazi ya Hotel na Usimamizi Wa bustani

    Mkuu nikisema hotel management utapangiwa miongoni mwa hizo kazi ndani ya career nzima
  3. FOdd

    Arusha Nafasi ya kazi ya Hotel na Usimamizi Wa bustani

    Wakuu panatafutwa vijana watano wakike wawili na wakiume wa tatu kwa kazi tajwa apo juu unaweza kuni Cheki Whatsapp kipaumbele uwe Arusha Mawasiliano 0716315462 Whatsapp Nicheki
  4. FOdd

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    Wajuzi mnakaribishwa nataka kujua kirefu cha hivi, RPO,RPC,DCI,OCD,DSO,OCD kama kuna vingine ongezea RC Regional commissioner DC District Commissioner CAG Comptroller and Audit General CDF Chief Defense force
  5. FOdd

    Tubadili jinsi teuzi zetu zinavyofanyika!

    Mimi naona Mzizi wa haya mapungufu ni katiba tu hii ya mwaka 1977 Iko na mapungufu kadhaa mfano Baadhi ya nafasi raisi angekuwa anapendekeza tu na Bunge ndio approve kama ilivo kwa PM
  6. FOdd

    Serikali: Miaka 2 ya Rais Magufuli, tumeongeza ari na nidhamu kwa watumishi! Mapato yapanda toka trion 9.9 hadi trion 14

    Ukiona Baba anatumia nguvu kutaka wanae wamjue na wamuheshimu kama baba yao basi apo kuna shida kidogo, Baba ni kutekeleza majukumu na Watoto wenyewe tu watajua wewe ni BABA na heshima kubwa utapata!
  7. FOdd

    Matatizo yanayoikuta computer, pamoja na suluhisho lake.

    Mkuu nisaidie apa tu swala la kupiga simu ni gumu
  8. FOdd

    Kwa wanaojua laptop vizuri ..nijuze ubora wa hii laptop

    Hio haikufai Boss kwa kazi unazotaka na recommend yenye Core i3 na Clock 2.8Ghz, Ram ikianzia 4gb good tu
  9. FOdd

    First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    Sawa, Ila kwa nchini vyuo karibu vyote vinajenga Makabatini na kuyaweka mpaka Makomeo
  10. FOdd

    Naweza kutumia dish moja la azam au dstv kuweka ving'amuzi viwili?

    Mkuu ni ngumu kidogo ila wakati tunasubiri wataalamu tuangalie haya Hizo dish mbili zote uelekeo wake ni tofauti Huyo Dstv ni North frequently while Azam ni West kwa hapa kwetu ili upande local station lazima tutafute signal kupitia hizo Pande
  11. FOdd

    Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Wire masikioni coiled earpiece ni kwa Walinzi wa High ranks leaders, Ila linapokuja swala la Usalama kuna Informers au collectors of information ambae Hajawahi vaaa hata suti Yani Ata asishukiwe, hao unaokutana nao na kuwahisi Wapo vitengo vya wazi wazi Tu kama PSU
  12. FOdd

    First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    Mimi hata beg la kuvuruta sibebi nilikuwa naenda na begi moja tu la mgongoni Kadet tatu, na shati mbili, Laptop Na pair moja ya viatu reserve, Truck suit basii, Nachukia sana mizigo
  13. FOdd

    First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    Mkuu nimecheka kwa sauti kubwa sana hahaha
  14. FOdd

    First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    Mkuu vyuo ni si vinatoa Locker kwa Kila mwana chuo
  15. FOdd

    Matatizo yanayoikuta computer, pamoja na suluhisho lake.

    Boss mi nahitaji driver za Touchscreen pc yangu ni Asus Tp 200Sa flipbook
Back
Top Bottom