Arusha Nafasi ya kazi ya Hotel na Usimamizi Wa bustani

FOdd

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
131
Likes
149
Points
60
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined Sep 17, 2017
131 149 60
Wakuu panatafutwa vijana watano wakike wawili na wakiume wa tatu kwa kazi tajwa apo juu unaweza kuni Cheki Whatsapp kipaumbele uwe Arusha Mawasiliano 0716315462 Whatsapp Nicheki
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,712
Likes
43,696
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,712 43,696 280
Kwa wasio na wasp je..?
Wakuu panatafutwa vijana watano wakike wawili na wakiume wa tatu kwa kazi tajwa apo juu unaweza kuni Cheki Whatsapp kipaumbele uwe Arusha Mawasiliano 0716315462 Whatsapp Nicheki
 
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
385
Likes
363
Points
80
Age
49
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
385 363 80
Kazi ya hoteli!???

Hotel inadepartment zaid ya tano,ni vizur ukawa specific

Nafasi gani hiyo inayohitajika?
 
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
385
Likes
363
Points
80
Age
49
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
385 363 80
Mkuu nikisema hotel management utapangiwa miongoni mwa hizo kazi ndani ya career nzima
Kazi ndani ya vitengo vya hotel, nyingi zinahitaji taaluma mahususi, mfano
1.receptionist
2.cashier
3.It
4.Managers wa vitengo
5.supervisors wa vitengo
6.Bar mans
7.Waiters
8.Chefs
9.cookers
10.Host
11.Room attendant
12.Dish washers

Hizo ni baadhi tuu ya vitengo vichache vinavyohitaji taaluma yake ili uweze kumudu kazi husika, vipo vingine vingi ambavyo sijaviorodhesha hapo juu,

sasa hauwezi wewe kutangaza nafasi ya kazi ndani ya hotel pasina kutaja kitengo cha hiyo nafasi uliyo itangaza, kwa kimbilio la kusema eti hotel management,

Ndio nikakuambia ebu zungumza unahitaji mtu wa kitengo gani!?
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
2,011
Likes
1,503
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
2,011 1,503 280
Kazi ndani ya vitengo vya hotel, nyingi zinahitaji taaluma mahususi, mfano
1.receptionist
2.cashier
3.It
4.Managers wa vitengo
5.supervisors wa vitengo
6.Bar mans
7.Waiters
8.Chefs
9.cookers
10.Host
11.Room attendant
12.Dish washers

Hizo ni baadhi tuu ya vitengo vichache vinavyohitaji taaluma yake ili uweze kumudu kazi husika, vipo vingine vingi ambavyo sijaviorodhesha hapo juu,

sasa hauwezi wewe kutangaza nafasi ya kazi ndani ya hotel pasina kutaja kitengo cha hiyo nafasi uliyo itangaza, kwa kimbilio la kusema eti hotel management,

Ndio nikakuambia ebu zungumza unahitaji mtu wa kitengo gani!?
Asante kumwelimisha! Aanze upya! Asijepata mtu anafika kule anapangiwa reception hana customer care au apelekwa jikoni hata kukoroga uji hajui
 
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
2,377
Likes
1,423
Points
280
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
2,377 1,423 280
Mkuu elezea vizuri maana hata umri unaotakiwa hujaweka,elimu inayohitajika mwajiriwa awe nayo hakuna asa inakuaje hapo
 
Forum statistics

Threads 1,263,530
Members 485,918
Posts 30,155,445