Naweza kutumia dish moja la azam au dstv kuweka ving'amuzi viwili?

  • Thread starter Mfukua Makaburi
  • Start date

Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
2,677
Likes
5,158
Points
280
Age
28
Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
2,677 5,158 280
Habari ya jumapili wakuu.

Naomba kujua kama naweza kutumia dishi moja la azam au dstv kuweka vile kichwa viwili vya azam na dstv.

Nina ving'amuzi viwili, dstv na azam ila najaribu kuangalia uwezekano wa kutumia dish moja kuliko kupachika madishi yote.

Ahsante.
 
mansolata

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Messages
500
Likes
302
Points
80
Age
38
mansolata

mansolata

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2016
500 302 80
Subiri waje
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,577
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,577 280
Habari ya jumapili wakuu.

Naomba kujua kama naweza kutumia dishi moja la azam au dstv kuweka vile kichwa viwili vya azam na dstv.

Nina ving'amuzi viwili, dstv na azam ila najaribu kuangalia uwezekano wa kutumia dish moja kuliko kupachika madishi yote.

Ahsante.
Ingekuwa vyote ni azam au vyote dstv ingewezekana lakini ni tofauti na dstv na azam uelekeo ni tofauti japo dish na lnb zinaingilia so haiwezekani.
Ngoja na wengine waje watoe yao
 
msomi kutoka znz

msomi kutoka znz

Senior Member
Joined
Sep 18, 2017
Messages
160
Likes
414
Points
80
msomi kutoka znz

msomi kutoka znz

Senior Member
Joined Sep 18, 2017
160 414 80
Huwez sababu Kila dish inatuma na kupokea signal tofauti kutokana na matumiz.ukiweka pamoja signal zitaconfict
 
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
1,967
Likes
704
Points
280
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
1,967 704 280
Inawezekana kama utazingatia Angle of elevesion na Focal length ya Dipole
 
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
580
Likes
626
Points
180
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
580 626 180
Hapa hoja isiwe inawezekana au haiwezekani...wataalamu jibuni kwa kuangalia nini kifanyike ili iwezekane kuwa na universal satelite dishes...dish moja vingamuzi miamoja. Kazi kwenu wanasayansi
 
JipuKubwa

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Messages
1,983
Likes
1,498
Points
280
Age
33
JipuKubwa

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2013
1,983 1,498 280
Inawezekana kabisa.
 
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
131
Likes
148
Points
60
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined Sep 17, 2017
131 148 60
Mkuu ni ngumu kidogo ila wakati tunasubiri wataalamu tuangalie haya Hizo dish mbili zote uelekeo wake ni tofauti Huyo Dstv ni North frequently while Azam ni West kwa hapa kwetu ili upande local station lazima tutafute signal kupitia hizo Pande
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,675
Likes
3,321
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,675 3,321 280
Hapa hoja isiwe inawezekana au haiwezekani...wataalamu jibuni kwa kuangalia nini kifanyike ili iwezekane kuwa na universal satelite dishes...dish moja vingamuzi miamoja. Kazi kwenu wanasayansi
Usilazimishe vitu visivyowezekana kwa ubishi wa kiswahili swahili tu, hiyo universal satellite itarushwa wapi kiasi kwamba eneo lolote la dunia liweze kuwa na same coverage? Labda kama unataka dunia iwe bapa na sio hali ya uduara iliyonao...

Mawimbi ya satelaiti zaidi ya moja huweza kunaswa na dish moja (lnb moja au tofauti) endapo tu uelekeo na mwinuko toka uso wa dunia wa satelaiti hizo unakaribia sana na vile vile ukubwa wa dish uwe umezingatiwa kulingana na footprint ya satelaiti husika...

Mathalani 57°E, 66°E, 68.5°E, 76°E, 78.5°E n.k zote hizi huweza kupatikana katika dish moja na lnb tofauti na pia katika uelekeo huo zipo satelaiti unazoweka lnb moja na dish moja na ukapata mawimbi yake kwa hosted channels zote...

Sasa kwa hili la huyu bwana, DSTV na Azam huwezi wapata katika dish moja na lnb moja au mbili na king'amuzi kimoja kwa kuwa uelekeo na mwinuko wake kuelekea hizo sateliti mbili toka Tanzania upo mbalimbali sana...
 
Maskini Msafi

Maskini Msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
447
Likes
339
Points
80
Maskini Msafi

Maskini Msafi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
447 339 80
Ni sawa unaishi Dar halafu ulazimishe 88.5 ishike radio one au radio free au Tbc Fm...ukishajua kwanini 88.5 ni cloudz tu na haiwezekani radio ingine ikashika kwa masafa hayo hapa DSM..bhas utajua ni kwanini Huwez tumia dish moja la dstv au azam kwa unavyotaka.
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
81
Points
145
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 81 145
Jibu ni: Haiwezekani.
Sababu: Wanatumia satellite tofauti, elevation angle tofauti, azimuth tofauti, hata kama dish linasupport mount za lnb mbili.
 

Forum statistics

Threads 1,238,662
Members 476,083
Posts 29,325,912