Recent content by flexyps

  1. F

    Kwanini bei za bidhaa zinakua juu kipindi cha sikukuu !!!

    The reason is that wakati wa sikukuu demand inaongezeka mara dufu kuliko rate ya uongezekaji wa supply hivyo kupelekea bei ya bidhaa kupanda
  2. F

    UKAWA wametutukana watanzania, Lowassa anatudhihaki wananchi

    Weka picha za hapo petrol station
  3. F

    Bureau de change

    Kwenye bureau de change kuna bei aina mbili kwa maana ask and bid prices eg dola inaweza kuandikwa buy tsh 2150 sell 2200 maana yake ukiwa na dola unataka kuiuza wao (bureau de change) wanainunua kwa sh 2150 ila ukiwa na tsh unataka kununua dola wao (bureau de change) wanakuuzia 2200 na...
  4. F

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Huu ni uongo wa kitoto saana walioandikishwa iringa mjini kwa maana ya manispaa ya iringa kwenye bvr ni 105662 na jumla ya wapiga kura wa ccm ulioainisha ni 145637
  5. F

    Kampuni/ ofisi kutokuwapa likizo wafanyakazi wake

    Asome employment and labour relations act 2004
  6. F

    Precision may not last long in the air, auditors now warn

    Pole saaana wakati wa IPO za precision air hawakufanya analysis nzuri maana wakati huo kulikuwa na fukuto la kurejea ATCL na ndio kipindi hicho ambacho fastjet ilikuwa katika hatua za awali hivyo kuathiri ununuaji wa hisa kwa kuwa kabla ya fastjet na atcl precision ilikuwa na 51% share katika...
  7. F

    Kaspersky 2014 Serial Key

    Ingia softz.ir
  8. F

    Yuko wapi Mr Paul?

    Nasikia yupo Australia alioa mzungu akaenda nae huko
  9. F

    namba hii ya ajabu,nani anaijua.

    Jaribu bahati yako
  10. F

    Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

    Kwa uelewa wangu wanyama karibu wote wana uwezo wa kudetect adrenalin(hormone of fight or flight) kwa hali ya kawaida ukipata kitu cha kuogofya adrenalin hutoka kwa ajili ya wewe kujihami ama kupambana nacho. Kwa mtoto hana uelewa juu ya hatari hivyo basi adrenalin yake haitoki na kufanya nyoka...
  11. F

    kwanini backberry company (RIM) imeanguka

    kibiashara Blackberry ilianguka baada ya duplication ya muundo wake wa simu (kutoka kwa wachina) na kuanza kuharibu reputation iliyokuwanayo, initially blackberry ilikuwa cm ya class flan baada ya duplication wale watu wakaona status yao inashuka kwa kuwa ilikuwa ngumu mtu kutofautisha original...
  12. F

    Wale tuliosoma advanced mathematics -pure- ni topic gani ilikutoa povu na ipi uliionea

    Mie bwana coordinate geometry 2 ilinipa taabu ila complex numbers n Trig zilikuwa kama maji ya sabuni kwenye tiles
  13. F

    economics na finance

    nasikitika kuwa mleta hoja hajanielewa nimetoa scope ya economics kwa kuwa muulizaji alitaka uamuzi kati ya economics and finance na accounts and finance which means finance was common in each of the two choices i may giv the finance scope ila hapa sio mahala pake.
  14. F

    economics na finance

    unataka kufanya nini? i recommend economics and finance kwa sababu hizi kwanza economocs is wider than accounts secondly kwenye biz subjects hakuna consultancy isiyohusisha economiccs and finance mwisho accounts ipo kupanga yaliyofanywa na wachumi na financial analysts naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom