sasa nimeelewa kwanini watu hawapendi bberry na kwanini mimi nimeipenda>
mimi si mpenzi wa kucheza games kwenye simu kwa hiyo hata kwenye android na iphone sikuwa nina install games, mimi games ni kwenye computer na game consoles.
pia suala la kustream kwenye simu mimi kwangu sipendelei unless nasoma habari labda iliyoambatana na video hapo naweza stream lakini siwezi anza eti angalia movie kwenye simu au mziki.
kuhusu kulipia data bundle za bberry hata mimi sijapenda naona kama ni urasimu mfano mimi bundle nalipia lakini siifaidi kivile kwakuwa nadhani mpaka week inaisha nakuwa sijatumia hata mb 700 maana mimi zaidi ya apps za facebook, whatsapp, viber, linkeid, jamii forums na ku surf kawaida niwapo mbali na computer sina ninachofanya zaidi.
kwanini unaiponda htc kwani htc ni mashine kubwa kaka ushatumia HTC one
HTC ninayo moja mkuu hazijasimama sana kama simu nyingine za android ukiniuliza Mimi Naona tecno android bora zaidi kuliko HTC, pili umekubaliana nami rim walizidi urasimu hiyo os Yao tuu Angalia walivyokimbizwa sokoni baada ya android kuingia nadhani kama android ingekuwa BB kwanza nchi maskini kama Tanzania tusingekuwa nayo, mawazo yangu tuu..
we hujui simu FYI blackberry is not even a smart phone.... your being disrespectful by comparing blackberry to galaxy and lumia!!!
Print screen tuione ilipo.Hivi nyinyi mpo JF ipi? Mbona hiyo option ya thumb up & down ipo? Au mnakuja macho juu?
Hayo ni mawazo yako, hayana ukweli hata kidogo.kibiashara Blackberry ilianguka baada ya duplication ya muundo wake wa simu (kutoka kwa wachina) na kuanza kuharibu reputation iliyokuwanayo, initially blackberry ilikuwa cm ya class flan baada ya duplication wale watu wakaona status yao inashuka kwa kuwa ilikuwa ngumu mtu kutofautisha original na replica watu wakaamua kupunguza kuinunua blackberry.
kibiashara Blackberry ilianguka baada ya duplication ya muundo wake wa simu (kutoka kwa wachina) na kuanza kuharibu reputation iliyokuwanayo, initially blackberry ilikuwa cm ya class flan baada ya duplication wale watu wakaona status yao inashuka kwa kuwa ilikuwa ngumu mtu kutofautisha original na replica watu wakaamua kupunguza kuinunua blackberry.
Kulinganisha HTC na Tecno ni sawa na Ferrari ukailinganisha na Corolla.HTC ninayo moja mkuu hazijasimama sana kama simu nyingine za android ukiniuliza Mimi Naona tecno android bora zaidi kuliko HTC, pili umekubaliana nami rim walizidi urasimu hiyo os Yao tuu Angalia walivyokimbizwa sokoni baada ya android kuingia nadhani kama android ingekuwa BB kwanza nchi maskini kama Tanzania tusingekuwa nayo, mawazo yangu tuu..
sidhani kama kunipa bure kuna relation na kutokuwa na ubora wake hiyo simu ilikuwa boxed haijatumiwa na ukiulizia dukani inazidi bei ya simu nvingi zinazo run android sokoni kwa hiyo kanipa tu kwa mapenzi yake.
Kulinganisha HTC na Tecno ni sawa na Ferrari ukailinganisha na Corolla.
kibiashara Blackberry ilianguka baada ya duplication ya muundo wake wa simu (kutoka kwa wachina) na kuanza kuharibu reputation iliyokuwanayo, initially blackberry ilikuwa cm ya class flan baada ya duplication wale watu wakaona status yao inashuka kwa kuwa ilikuwa ngumu mtu kutofautisha original na replica watu wakaamua kupunguza kuinunua blackberry.
Nadhani Ma.s.a.buri yanahusikaDuh! Ulitumia nini kuwaza hiki ulichoandika?
Nadhani Ma.s.a.buri yanahusika
Sikuwahi kutumia simu ya blackberry mpaka hivi karibuni nilipoletewa zawadi ya blackberry 9900 na rafiki yangu.
Kiukweli sikuwahi kufikiria kama blackberry inaweza kuwa simu nzuri. Nimewahi kutumia simu za nokia e series, n series na lumia, pia nimetumia simu za android kama samsung, Lg na Htc na nimetumia iphone japo nimeishia iphone 4s, ila baada ya kutumia blackberry nadiriki kusema yafuatayo:
Blackberry os ni user friendly sana na ni rahisi kutumia.
Pia apps zake zinavyo interact baina yake yan application moja na nyingine ni vizuri kweli mfano interaction ya whatsapp, facebook, viber na bbn messenger inavutia sana.
Japo push email ipo kwenye kila smart phone lakini nimependa zaidi kwenye blackberry.
System yake iko stable haicrash na ku freez freez.
Nina mengi ya kuandika lakini nimebaki najiuliza swali je ni kwanini watu hawapendi tena simu za bberry.
Nilitaka kuiuza nilipopewa lakini nilipoitumia tu siku ya kwanza ni fall in love with it.
Endelea kutumia BB siku unahamia iOS 7 ndo utagundua such a huge difference
Kwanza dunia ya phyical keyboard imepitwa na wakati
Small screen ya most of BB smartfones inaboa
Inabidi kununua salio mara mbili mbili la bundle plus matumizi ya kawaida
Inaniboa inavyojifikiria muda mrefu kuwaka utadhan inatongozwa
Muonekano wa Applications ni kama vi picha vya kuchora
Nk nk
Nilishatumia BB, na sababu pekee itakayonifanya nirudi kutumia BB ni kuandika message kwa speed na attractive small and customized font
wewe ni kama mimi mkuu, touch uwa inaniznguaMimi ni mtu wa kuchati sana napenda simu yenye physical keyboard maana inaniwezesha kutype bila kuangalia keboard. Ios 7 sijatumia so siwezi comment