Precision may not last long in the air, auditors now warn

Precision may not last long in the air, auditors now warn

Ninikua nakuheshim kwa comments zako, sasa kwa hili tuseme sijui umeteleza au uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo!
Unasema sisi hatuhitaji ndege!
 
Tunadharau watanzania wenzetu kwa kila kona. precission walijitakia msiba wao wenyewe. hivi kweli nchi kama kenya ambayo inashirika lake KQ ambao in general wahaitakii mema tz unaenda kuchukua mtu huko kujakuwa CEO wa PAA?
mbali na hapo kulikuwa na umuhimu gani wa kuungana na KQ? Pia mtu anawezaje kukodi ndege halafu mnaambiwa zimenunuliwa mnakubali na mnashindwa kujua kwa muda wote huo. halafu inaonekana hata wakurugenzi nyeti wote walikuwa ni wakenya na walikuwa kundi moja kwani haingii akilini madudu yote hayo yafanyike bila kujulikana kwa muda mrefu hivyo
Huo ndio ushirikiano na wakenya! Mpaka wakuingize mkenge ndio plani yao. Wali- paint picture kama precision na mkurugenzi mkenya wameweza kumbe wamekua wanapika data fedha yote inaenda kenya. Katika EAC tuwe macho kama kunguru. Sio bure wanatung'ang'ania ili watuingize mjini. Baada ya kuifilisi kampuni wanamwachia mkurugenzi mtz tambara bovu (isara).
 
Kenyans this Kenyans that, lawama tu ndo zenyu, biashara kuanguka kwa ajili ya mikakati tofauti mbona jambo la kawaida. Hata KQ kwetu inachangamoto zake. Biashara ni kama mpira wa soka, mikakati tofauti katika ushindani. Awe Mtanzania ama Mkenya, mwisho wa siku cha msingi ni faida sio lawama zisizo na umuhimu mambo leo.
 
4
Kazi inaendelea ila ujenzi wa barabara ndo unasuasua ingawa unaendelea ila speed ndogo sana ingawa kwa baadhi ya maeneo mambo yanaenda vizuri unajua wamegawana campuni fulani kuanzia sehemu fulani had fulani na nyingine hivyohivyo.

kwa upande wa barabara kule urambo speed iko vizuri sana wako busy mashine nyingi barabarani

kwa reli wameanzia katikati humo porini baada ya manyoni kuna kituo fulani kule ndani nimekisahau jina ila ndo kitovu cha asali kwenye hiyo barabara hapo ndo watu wa reli wako busy kweli
thanx broo
 
[h=1]Precision seeks KQ bailout as Dar govt snubs airline[/h]
precision.jpg
A Precision Air carrier. The airline has been facing cash flow challenges occasioned by an overambitious expansion plan that saw it add new aircraft. FILE
By ROSEMARY MIRONDO Special Correspondent

Posted Saturday, February 1 2014 at 16:15
In Summary

  • Precision Air approached KQ, which owns 41.23 per cent of the airline, for financing, as the Dar es Salaam-based airline seeks ways to shore up its eroded cash position.
  • The airline has been facing cash flow challenges occasioned by an overambitious expansion plan that saw it add new aircraft.
  • Precision Air said apart from KQ, it was also talking to other investors, including other airlines, keen on taking up a stake in the airline.

SHARE THIS STORY
Tweet

Kenya Airways (KQ) and Tanzania’s Precision Air are in talks over a deal that could see the Nairobi-based carrier raise its stake in the latter, by injecting up to $30 million into it.

The move comes after similar discussions between the Tanzanian government and Precision Air, in which the former was expected to inject $30 million into the struggling company, flopped.

READ: Dar govt pushes for Precision Air shares’ valuation before investing

Precision chairman Michael Shirima told The EastAfrican that his airline had approached KQ, which owns 41.23 per cent of the airline, for financing, as the Dar es Salaam-based airline seeks ways to shore up its eroded cash position.

“KQ was waiting for the government’s decision…. when the government gave us its final decision on the matter, KQ came up with the idea to increase its stake, over which we are still in discussion. Our aim is it get between $20 million and $30 million through equity,” said Mr Shirima.

Late last year, Ernst and Young, Precision’s auditors, raised concerns over the viability of the airline in the light of surging debts, saying it must move fast to secure financing if it is to remain afloat.

The company’s audit report painted a gloomy picture of the loss-making firm, saying its liabilities had exceeded its assets by Tsh83.14 billion ($53 million).

READ: Precision may not last long in the air, auditors now warn
 
Wamuone Dr. Lwaitama for consultancy!
 
Nashauri viongozi waangalie utaifa zaidi ya biashara, kwa Afrika mashariki inavyokwenda hatuwezi kutegemea shirika la ndege la jirani kutuendeshea mambo yetu.

Viongozi waone hili shirika la ndege kama fahari ya Tanzania hivyo walisaidie.
 
Kwanini wasiingie ubia na Air Tanzania,serikali itie mkono hapo kuinusuru Precision na kuinua Air Tanzania kwa wakati huo huo.
Shirika la nchi jirani haliwezi kuisaidia shirika la ndege la hapa nchini zaidi ya kuinyinya.Dr.Makyembe anapaswa kuumiza akili hapo kuweza kusaidia usafiri wa anga hapa nchini kutumia mashirika ya humu ndani kuliko kutegemea ya nje.
 
Precision seeks KQ bailout as Dar govt snubs airline

precision.jpg
A Precision Air carrier. The airline has been facing cash flow challenges occasioned by an overambitious expansion plan that saw it add new aircraft. FILE
By ROSEMARY MIRONDO Special Correspondent

Posted Saturday, February 1 2014 at 16:15
In Summary

  • Precision Air approached KQ, which owns 41.23 per cent of the airline, for financing, as the Dar es Salaam-based airline seeks ways to shore up its eroded cash position.
  • The airline has been facing cash flow challenges occasioned by an overambitious expansion plan that saw it add new aircraft.
  • Precision Air said apart from KQ, it was also talking to other investors, including other airlines, keen on taking up a stake in the airline.

SHARE THIS STORY
Tweet

Kenya Airways (KQ) and Tanzania's Precision Air are in talks over a deal that could see the Nairobi-based carrier raise its stake in the latter, by injecting up to $30 million into it.

The move comes after similar discussions between the Tanzanian government and Precision Air, in which the former was expected to inject $30 million into the struggling company, flopped.

READ: Dar govt pushes for Precision Air shares' valuation before investing

Precision chairman Michael Shirima told The EastAfrican that his airline had approached KQ, which owns 41.23 per cent of the airline, for financing, as the Dar es Salaam-based airline seeks ways to shore up its eroded cash position.

"KQ was waiting for the government's decision…. when the government gave us its final decision on the matter, KQ came up with the idea to increase its stake, over which we are still in discussion. Our aim is it get between $20 million and $30 million through equity," said Mr Shirima.

Late last year, Ernst and Young, Precision's auditors, raised concerns over the viability of the airline in the light of surging debts, saying it must move fast to secure financing if it is to remain afloat.

The company's audit report painted a gloomy picture of the loss-making firm, saying its liabilities had exceeded its assets by Tsh83.14 billion ($53 million).

READ: Precision may not last long in the air, auditors now warn

Raising new equity to settle interest bearing loans is it a good idea? Why not convince lenders to accept shares instead?
 
Nashauri viongozi waangalie utaifa zaidi ya biashara, kwa Afrika mashariki inavyokwenda hatuwezi kutegemea shirika la ndege la jirani kutuendeshea mambo yetu.

Viongozi waone hili shirika la ndege kama fahari ya Tanzania hivyo walisaidie.

wangeanza wenyewe kuwa wa zalendo kwa kutunza lugha yetu ya Taifa,,pili wameua AIR Tanzania uzalendo wao upo wapi???
 
Kama Tanzania wameshindwa kuisaidia ATC watawezaje kusaidia Precision?

Nashauri viongozi waangalie utaifa zaidi ya biashara, kwa Afrika mashariki inavyokwenda hatuwezi kutegemea shirika la ndege la jirani kutuendeshea mambo yetu.

Viongozi waone hili shirika la ndege kama fahari ya Tanzania hivyo walisaidie.
 
naamini kutokana na wigo mpana wa JF, wahusika wa precision air watakuwemo humu ...

Toka mtushawishi kununua hisa zenu na tukashawishika kuzinunua;... toka wakati huo hadi kesho hatujasikia lolote toka kwenu sisi kama wanahisa... hatujui kama mmepata kiasi gani kutokana na mauzo hayo ya hisa na je mlifikia lengo, mlivuka lengo au hamkufikia lengo na baada ya hapo mlipoingia kwenye biashara mlipata nini.

number zetu za simu mnazo kwanini msiwasiliane nasi kama wanahisa; si dhani kama mnatutendea haki.
 
Kama IPO imepita. Uza uachane nao
 
Si ilisemekana jamaa wanaelekea kufilisika?
 
Pole saaana wakati wa IPO za precision air hawakufanya analysis nzuri maana wakati huo kulikuwa na fukuto la kurejea ATCL na ndio kipindi hicho ambacho fastjet ilikuwa katika hatua za awali hivyo kuathiri ununuaji wa hisa kwa kuwa kabla ya fastjet na atcl precision ilikuwa na 51% share katika usafiri wa anga nchini na bahati mbaya saana tbl wakaissue share wakati huo hivyo mauzo ya share za precision hayakufikia malengo, kwa kifupi mtafute mtu umuuzie share hizo
 
We Jamma ni Mjinga sana yani na Akiliyako yote ukanunua hiza za hao PW? Wewe zisamehe tu maana paka saivi Mishahara ya miezi 5 hawajalipana
 
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.
 
Back
Top Bottom