Kwanini bei za bidhaa zinakua juu kipindi cha sikukuu !!!

lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
791
410
Heshima kwenu wadau,

Nini kinasababisha bei za bidhaa kuwa juu kipindi cha sikukuu ? ni kwasababu y uadimu wa bidhaa madukani na masokoni au ni tamaa tu za wauzaji kutengeneza faida nyingi siku hiyo ?

Karibuni
 
Economics made simple:

The higher the price, the higher the quantity supplied and, producers supply more at a higher price because selling a higher quantity at a

higher price increases revenue.

Economics made simple:

The higher the price, the higher the quantity supplied and, producers supply more at a higher price because selling a higher quantity at a

higher price increases revenue.

The reason is that wakati wa sikukuu demand inaongezeka mara dufu kuliko rate ya uongezekaji wa supply hivyo kupelekea bei ya bidhaa kupanda
 
Ni tamaa tu ya wafanya biashara pia tumejijengea utamaduni wa kupandisha bei bidhaa wakati wa sikukuu na hata Ramadhani.

Mataifa ya ulaya manunuzi huwa mengi wakati wa sikukuu na bidhaa huwa zinashuka kama sale ya funga mwaka ambapo wameisha tengeneza faida miezi yote na mwisho wa mwaka wanashusha ili mzigo mpya uingie sokoni kama ushindani.

Kwa chakula huku kwetu wanapandisha kiholela kwa tamaa tu
 
Heshima kwenu wadau,

Nini kinasababisha bei za bidhaa kuwa juu kipindi cha sikukuu ? ni kwasababu y uadimu wa bidhaa madukani na masokoni au ni tamaa tu za wauzaji kutengeneza faida nyingi siku hiyo ?

Karibuni

Pitia topic ya demand and supply
 
The reason is that wakati wa sikukuu demand inaongezeka mara dufu kuliko rate ya uongezekaji wa supply hivyo kupelekea bei ya bidhaa kupanda

Mkuu, umesomeka vema.

Ila, unapingana nadharia hiyo ya awali au umeirahisisha kwa kuiandika kwa lugha tofauti na bandiko namba 2?
 
Economics made simple:

The higher the price, the higher the quantity supplied and, producers supply more at a higher price because selling a higher quantity at a

higher price increases revenue.

jamaa unapotosha nakutazama tu
 
Back
Top Bottom