Naomba ufafanuzi hua sielewi kwanini mnakatisha ruti ya Mbezi kutoka Gerezani au kivukoni sa 2 : 30 ilihali abilia ni wengi ila mnataka afike kimara achukue gari nyingine. Hii inafanya mnapoteza fedha kwa sababu kuna baadhi akifika kimara kachoka kusubiri gari zenu mpaka zijae tena anahisi uvivu...
Habari mimi pia natafuta ajira. Nina diploma ya UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA. (RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT). Napatikana Dar es salaam pia sio lazima iwe utunzaji wa kumbukumbu nachoomba ni kazi yoyote ambayo ni halali. Asanteni
Pambana mkuu na Mungu akuajaalie maana haya makampuni ya mitandao ni janga mfano Tigo ile saizi yako huwezi angalia hata salio la kifurushi chako ni mwendo wa kukalili muda uliojiunga na siku
Vipi kuhusu vitambulisho vya mjasiliamali vilivyotolewa na mh, rais maana kuna sehemu mpaka muuza mbogamboga anatakiwa kua nacho so ndio kodi yake ile kwa uelewa wangu mdogo au hii unayozungumzia hapa ni tofauti ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.