Ukusanyaji wa kodi katika biashara zenye mitaji midogo

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
4,574
9,814
Leo nimejaribu kupita katika vichochoro vingi vya jiji la DSM. Lengo langu likiwa haswa ni kujaribu kujenga shahuku juu ya kupata taswira halisi ya uwepo wa wingi wa biashara ambazo ndogo na tena si rasmi. Nikiwa na maana ya kwamba hazitambuliwi na mamlaka husika za Kodi.

Jicho la langu limeshuhudia wingi wa pilikapilika za wachuuzi na wanunuzi. Misongamano ikiwa ni mingi, yenye changamoto ktk kuzifikia na hata ubora wa bidhaa nyingi ukiwa ni duni mno, na tena bei za bidhaa zikiwa ni za chini mno.

Jicho langu la udadisi lilizidi kunikita zaidi ndani uwezekano wa wahusika kujumuishwa ktk "common tax net" kama vile mbavyo inaaininishwa ktk makabrasha ya TRA. Kusema ukweli, licha ya udogo wa mitaji na uduni wa biashara hizi, lkn nimeweza kuona kuwa kuna "potential taxable income" kama itakuwa ni kuwafikia "in their aggregate".

Natambua ilivyokuwa ngumu kwa afisa nadhifu wa TRA kuja huku Uswazi kukusanya kwa kufukuzana na wadau wao wa kodi, tena kwa mmoja mmoja wao. "Cost of collection" itakuwa ni kubwa sana "per individual taxpayer".

Natambua ili kufanikisha kukusanya kodi iliyojifisha, inapaswa kuwepo "alternative approach" ya kuweza kufanikisha hilo. Ni "approach" kama vile ifanyikavyo ktk "market segmentation" ndivyo ambavyo tunaweza kuwaweka wafanyabiashara hawa katika makundi mbalimbali ya kikodi, tena yakiwa na ukadiriaji mdogo wa kodi kuendana vipato na mitaji yao.

TRA inaweza kutetengeza "collection centres" tena kupitia vyama vya wafanyabiashara hawa. Vile kama ambavyo taasisi za mikopo midogo midogo wafanyavyo ktk VICOBA ama SACCOS. "Similar rules of the gamep" inaweza pia kutumika. "An autonomous department, solely dedicated" kwa wadau hawa muhimu wa kodi wanaweza kuwatenga ktk makundi tofauti ya kikodi "different tax baskets"

Wauzaji wa mboga mboga kundi lao, hali kadhalika mama ntilie wa sehemu husika, mathalani Mbagala ama Gongolamboto, wanawekwa kundi moja. Wachoma mahindi, mafundi wa viatu wachuuzi pweza na ugwadu wote wanawekwa katika makundi husika, ambapo utaratibu utawekwa wa kuweza kuwa kadiria zao na kukusanywa kupitia ktk vikundi vyao vya kikodi vinavyohusika.

Nimejaribu kukadiria, eneo la Mbagala peke yake zinaweza kupatikana "tax buskets" kama 100 na kila "busket" ina "taxpayer" kama 10 hivi. Piga hesabu hata kama wakikadiriwa kodi ya shilingi 2,000/- kwa wiki, achilia mbalimbali uhalisia wake wote. Utapata hesabu ya haraka ambapo zingeweza kukabidhiwa kwa halmashauri husika kwa maendeleo yake.

Ulipaji wa kodi upo kisheria, haijalishi urasmi ama udogo wa biashara. Kila mtu mwenye kujiingizia kipato halali (mimi nashauri hapa hata kisichokuwa halali lkn tu iwe "ncome" imekuwa "justified and realized") kuguswa na wajibu huu.
 
Vipi kuhusu vitambulisho vya mjasiliamali vilivyotolewa na mh, rais maana kuna sehemu mpaka muuza mbogamboga anatakiwa kua nacho so ndio kodi yake ile kwa uelewa wangu mdogo au hii unayozungumzia hapa ni tofauti ?
 
Tatizo vitambulisho hivyo vimeanzishwa kwa tamko la kisiasa. Pengine labda kama nijuavyo mimi, ili kodi iwe "administered" na TRA inapaswa kwanza na kupelekwa kwanza kama "bill" bungeni ikiwa ni mpya. Kisha, sheria hutungwa na regulations zake hupitishwa. Ndipo hapo huanza kuwa "effective in force" Kama ni marekebisho ya kawaida kwa baadhi ya vifungu, pia hufanyiwa "amendments" na bunge pia ili kuvifanya kuwa na nguvu za kisheria.
 
Sheria ya kodi inamtaka apatae pato linalozidi kima cha chini cha mshahara kulipa kodi. Maelezo yako yanaonesha hakuna pato linalozidi, zaidi ya kushuhudia pilika zao. Kuwekewa vitambulisho vya wajasiria mali inatosha.
 
Mada nzuri sana! .... Vipi kama ungeiwasilisha kwa Kiswahili tu,bila kuchanganya lugha ili tupate michango mingi na uzoefu?.
 
Tatizo vitambulisho hivyo vimeanzishwa kwa tamko la kisiasa. Pengine labda kama nijuavyo mimi, ili kodi iwe "administered" na TRA inapaswa kwanza na kupelekwa kwanza kama "bill" bungeni ikiwa ni mpya. Kisha, sheria hutungwa na regulations zake hupitishwa. Ndipo hapo huanza kuwa "effective in force" Kama ni marekebisho ya kawaida kwa baadhi ya vifungu, pia hufanyiwa "amendments" na bunge pia ili kuvifanya kuwa na nguvu za kisheria.
Huwezi kutunga sheria kwa biashara zisizo na daftari, huyu ameamka na sh. Elfu tano kaenda kununua mihogo amekaanga kauza leo kesho hayuko mtaani na mihogo yake sijui TRA itamkadiriaje kodi! Mtu huyu kila kukicha anabadilisha biashara kwa mtindo wa kujaribujaribu, achana nao waache wahangaikie maisha.
 
Hilo bunge halijui wajibu wake, liko kula hela za wananchi kisheria ndio maana zinazuka kodi zisizo na utaratibu maalum.
 
Huwezi kutunga sheria kwa biashara zisizo na daftari, huyu ameamka na sh. Elfu tano kaenda kununua mihogo amekaanga kauza leo kesho hayuko mtaani na mihogo yake sijui TRA itamkadiriaje kodi! Mtu huyu kila kukicha anabadilisha biashara kwa mtindo wa kujaribujaribu, achana nao waache wahangaikie maisha.
Na hili pia ni jambo la msingi, mtu kafungua kabiashara kake ka kujaribu tunamuwazia kodi...hajawezeshwa chochote,hajapewa elimu yoyote ya biashara wala kodi, hajapewa mda wa kukuza biashara yake, hatujui changamoto zake...brah brah....ifike kipindi hawa wanyonge kama tumeshindwa kuwasaidia basi tusiwakandamize. Tuwaache watafute mkate wao wa kilasiku kwa kubangaiza, wasakatonge hawa.
 
Sijui kwa wanaofanya biashara kwenye vibaraza vya nyumba zao, lakini walioko kwenye masoko rasmi na yasiyo rasmi wanalipa ushuru kwa halmashauri husika. Hakuna mkusanyiko wa wafanyabiashara wasiyolipa ushuru hata kama wanakutana usiku kando ya barabara,
Kuna mdogo wangu anafanya biashara ndogo ndogo manispaa ya ilala kwa siku analipa Tsh. 2000/= ushuru pamoja na kuwa na kitambulisho cha mjasiriamali
 
Jana ktk uzi wangu mwingine, japo hakuchangiwa na wengi, lkn niligusia suala la Mamlaka ya Mapato kuwa na idara ya Utafiti na Maendeleo ya Fursa zaidi za kupanua wigo wa Kodi. Nafikiri niligusia pia idara hii ndiyo iwe na wajibu wa kutafuta vyanzo vipya vya kwa njia za kitafiti.

Mpangilio wa ulipaji na makadirio wa sasa upo tu kutokana sheria za sasa, pasipo kujali mapungufu yake (tena ni mengi tu) kupitia tafiti tunaweza kujiridhisha uwepo wa walipa kodi wengi zaidi. Haijalishi biashara ni kubwa ama ndogo kiasi gani.
 
Wigo mpana zaidi wa kodi umefichika kuliko macho ya sasa ya mamlaka zenye kuhusika.
1566407376150.jpeg
 
Hamjawahi kuja naawazo ya kuwasaidia, ila mawazo ya kuwanyonya tu, muwe na hruma japo kidogo
 
Leo nimejaribu kupita katika vichochoro vingi vya jiji la DSM. Lengo langu likiwa haswa ni kujaribu kujenga shahuku juu ya kupata taswira halisi ya uwepo wa wingi wa biashara ambazo ndogo na tena si rasmi. Nikiwa na maana ya kwamba hazitambuliwi na mamlaka husika za Kodi.

Jicho la langu limeshuhudia wingi wa pilikapilika za wachuuzi na wanunuzi. Misongamano ikiwa ni mingi, yenye changamoto ktk kuzifikia na hata ubora wa bidhaa nyingi ukiwa ni duni mno, na tena bei za bidhaa zikiwa ni za chini mno.

Jicho langu la udadisi lilizidi kunikita zaidi ndani uwezekano wa wahusika kujumuishwa ktk "common tax net" kama vile mbavyo inaaininishwa ktk makabrasha ya TRA. Kusema ukweli, licha ya udogo wa mitaji na uduni wa biashara hizi, lkn nimeweza kuona kuwa kuna "potential taxable income" kama itakuwa ni kuwafikia "in their aggregate".

Natambua ilivyokuwa ngumu kwa afisa nadhifu wa TRA kuja huku Uswazi kukusanya kwa kufukuzana na wadau wao wa kodi, tena kwa mmoja mmoja wao. "Cost of collection" itakuwa ni kubwa sana "per individual taxpayer".

Natambua ili kufanikisha kukusanya kodi iliyojifisha, inapaswa kuwepo "alternative approach" ya kuweza kufanikisha hilo. Ni "approach" kama vile ifanyikavyo ktk "market segmentation" ndivyo ambavyo tunaweza kuwaweka wafanyabiashara hawa katika makundi mbalimbali ya kikodi, tena yakiwa na ukadiriaji mdogo wa kodi kuendana vipato na mitaji yao.

TRA inaweza kutetengeza "collection centres" tena kupitia vyama vya wafanyabiashara hawa. Vile kama ambavyo taasisi za mikopo midogo midogo wafanyavyo ktk VICOBA ama SACCOS. "Similar rules of the gamep" inaweza pia kutumika. "An autonomous department, solely dedicated" kwa wadau hawa muhimu wa kodi wanaweza kuwatenga ktk makundi tofauti ya kikodi "different tax baskets"

Wauzaji wa mboga mboga kundi lao, hali kadhalika mama ntilie wa sehemu husika, mathalani Mbagala ama Gongolamboto, wanawekwa kundi moja. Wachoma mahindi, mafundi wa viatu wachuuzi pweza na ugwadu wote wanawekwa katika makundi husika, ambapo utaratibu utawekwa wa kuweza kuwa kadiria zao na kukusanywa kupitia ktk vikundi vyao vya kikodi vinavyohusika.

Nimejaribu kukadiria, eneo la Mbagala peke yake zinaweza kupatikana "tax buskets" kama 100 na kila "busket" ina "taxpayer" kama 10 hivi. Piga hesabu hata kama wakikadiriwa kodi ya shilingi 2,000/- kwa wiki, achilia mbalimbali uhalisia wake wote. Utapata hesabu ya haraka ambapo zingeweza kukabidhiwa kwa halmashauri husika kwa maendeleo yake.

Ulipaji wa kodi upo kisheria, haijalishi urasmi ama udogo wa biashara. Kila mtu mwenye kujiingizia kipato halali (mimi nashauri hapa hata kisichokuwa halali lkn tu iwe "ncome" imekuwa "justified and realized") kuguswa na wajibu huu.
Mkuu umetoa wazo zuri sana hasa kwa kipindi hichi ambacho taifa linahitaji fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mikubwa ila cha ajabu kuna watu humu watakushambulia bila kutoa alternative.

Chini ya uongozi wa JPM najisikia fahari kulipa kodi kwa kweli maana kuna vitu vinafanyika na kwa macho ya nyama tunaviona.
 
Hamjawahi kuja naawazo ya kuwasaidia, ila mawazo ya kuwanyonya tu, muwe na hruma japo kidogo
Ndugu, maendeleo yoyote duniani hajawahi kufikiwa kwa fadhila ama huruma. Ni lazima kupitia machozi, jasho na damu, kila mtu ni lazima achangie kodi.
 
Acheni roho mbaya mnataka kuvuna wakati hamjapanda? mitaji yao yenyewe ni hela ya kula
 
Leo nimejaribu kupita katika vichochoro vingi vya jiji la DSM. Lengo langu likiwa haswa ni kujaribu kujenga shahuku juu ya kupata taswira halisi ya uwepo wa wingi wa biashara ambazo ndogo na tena si rasmi. Nikiwa na maana ya kwamba hazitambuliwi na mamlaka husika za Kodi.

Jicho la langu limeshuhudia wingi wa pilikapilika za wachuuzi na wanunuzi. Misongamano ikiwa ni mingi, yenye changamoto ktk kuzifikia na hata ubora wa bidhaa nyingi ukiwa ni duni mno, na tena bei za bidhaa zikiwa ni za chini mno.

Jicho langu la udadisi lilizidi kunikita zaidi ndani uwezekano wa wahusika kujumuishwa ktk "common tax net" kama vile mbavyo inaaininishwa ktk makabrasha ya TRA. Kusema ukweli, licha ya udogo wa mitaji na uduni wa biashara hizi, lkn nimeweza kuona kuwa kuna "potential taxable income" kama itakuwa ni kuwafikia "in their aggregate".

Natambua ilivyokuwa ngumu kwa afisa nadhifu wa TRA kuja huku Uswazi kukusanya kwa kufukuzana na wadau wao wa kodi, tena kwa mmoja mmoja wao. "Cost of collection" itakuwa ni kubwa sana "per individual taxpayer".

Natambua ili kufanikisha kukusanya kodi iliyojifisha, inapaswa kuwepo "alternative approach" ya kuweza kufanikisha hilo. Ni "approach" kama vile ifanyikavyo ktk "market segmentation" ndivyo ambavyo tunaweza kuwaweka wafanyabiashara hawa katika makundi mbalimbali ya kikodi, tena yakiwa na ukadiriaji mdogo wa kodi kuendana vipato na mitaji yao.

TRA inaweza kutetengeza "collection centres" tena kupitia vyama vya wafanyabiashara hawa. Vile kama ambavyo taasisi za mikopo midogo midogo wafanyavyo ktk VICOBA ama SACCOS. "Similar rules of the gamep" inaweza pia kutumika. "An autonomous department, solely dedicated" kwa wadau hawa muhimu wa kodi wanaweza kuwatenga ktk makundi tofauti ya kikodi "different tax baskets"

Wauzaji wa mboga mboga kundi lao, hali kadhalika mama ntilie wa sehemu husika, mathalani Mbagala ama Gongolamboto, wanawekwa kundi moja. Wachoma mahindi, mafundi wa viatu wachuuzi pweza na ugwadu wote wanawekwa katika makundi husika, ambapo utaratibu utawekwa wa kuweza kuwa kadiria zao na kukusanywa kupitia ktk vikundi vyao vya kikodi vinavyohusika.

Nimejaribu kukadiria, eneo la Mbagala peke yake zinaweza kupatikana "tax buskets" kama 100 na kila "busket" ina "taxpayer" kama 10 hivi. Piga hesabu hata kama wakikadiriwa kodi ya shilingi 2,000/- kwa wiki, achilia mbalimbali uhalisia wake wote. Utapata hesabu ya haraka ambapo zingeweza kukabidhiwa kwa halmashauri husika kwa maendeleo yake.

Ulipaji wa kodi upo kisheria, haijalishi urasmi ama udogo wa biashara. Kila mtu mwenye kujiingizia kipato halali (mimi nashauri hapa hata kisichokuwa halali lkn tu iwe "ncome" imekuwa "justified and realized") kuguswa na wajibu huu.
Nlichogundua ni kuwa huna shughuli za kufanya
 
Mkuu, katika kundi lolote lile, wapo watu ambao hawawezi kuthamini maoni ya wenzao hata kidogo. Sasa kukosa shughuli za kufanya si ndio napata nafasi ya kufikiri mambo muhimu ili niweze kushirikisha na wengine nipate kujifunza zaidi! Pole sana, stresses si nzuri unapopitia nyuzi za wengine. Ni bora hata ukapita kimya kimya kama vile huoni.
 
Back
Top Bottom