Mikia watasema ni photoshop

Mikia watasema ni photoshop

Ila mikia mna jazba lol.

Utadhania hiyo jezi ameeditiwa Kagere wa 5imba. 🤣Kumbe Christiano wa Juventus.🤣🤣🤣
 
Mtani Troisième Ceil kwani na wewe imekutesa hii pikiture? 😂
Kilichonisikitisha kwenye hii pikiture ni kuona Fundi wa mpira Mnyama CR7 kuvalishwa kinyemela jezi kutoka Utopoloni.
Vipi Shadeeya uko poa lakini? Mambo yanaenda? Corona inasemaje huko? Swaumu inaenda? Mvua vipi huko? Familia haijambo? Yanga ina habari gani? 😜😀😀
 
Kilichonisikitisha kwenye hii pikiture ni kuona Fundi wa mpira Mnyama CR7 kuvalishwa kinyemela jezi kutoka Utopoloni.
Hahahahaa. Wacha kusikitika Mtani hebu. Siku ingine tutamvisha Mo. 😂😂
Vipi Shadeeya uko poa lakini? Mambo yanaenda? Corona inasemaje huko? Swaumu inaenda? Mvua vipi huko? Familia haijambo? Yanga ina habari gani? 😜😀😀
Ukisikia salamu mfululizo ndo hizi sasa. Lol.

Mie sijambo, Mambo yanaenda poa kabisa, Swaumu nayo Alhamdulillah,Huku mvua imekata siku mbili hizi , Familia nayo bukheri
na Yanga inaombea tu Corona iishe tuendelee na Ligi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom