Hesabu za algebra za darasa la tano. Nitakupa njia tu. majibu yametolewa
umri wa idd = x, umri wa asha = 3x; miaka 5 iliyopita : (3x-5)+(x-5)=14 kwa hivyo x=6
umri wa baba= p, umri wa sadiki = 1/4 p; miaka 3 ijayo : 3(1/4p+3) = (p+3) kwa hivyo p=6
umri wa nuru = k, umri wa tuli = k-6...
Kilicho cha Kaizari mpe kaizari na cha Mungu mpe Mungu. Ni kweli unayoyasema na ni sahihi kwa upeo wako wa kuyachambua na kutayafakari mambo, lakini HAYAKUHUSU!!! Viongozi wapo wengi na Vyama vipo vingi jiunge na chama ukipendacho. Ukimya ni dawa tosha!
Padri Mapunda endelea kuwachunga kondoo zako wasije wakapotea njia na kuelekea kusiko chakula. Nakupongeza sana. Hakuna sheria inayokuzuia usiwachunge kondoo wako. unatoa elimu dunia kwa kondoo zako ili zitambue uzuri na ubaya wa jambo husika. usipotoa elimu ni nani atawaelimisha kondoo zako...
Jaji Werema alikuwa mtumishi aliyeongozwa na uaminifu na uadilifu katika utumishi wake :majani7::majani7:Kama hii ni sawa watanzania wamepiga hatua sana karne hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kurudi bungeni kujadili rasimu ya tume ya warioba au rasimu ya CCM? Nini chanzo cha ukawa kutoka bungeni? na je, chanzo hicho kimetafutiwa mwarobaini? serikali mbili zipo kwenye rasimu ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.