Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angerudi leo

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
10347090_322285157957154_1399503424457942585_n.jpg
 
huyo gado anadoea huko kenya anasahau kwao
 
safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl
 
Gado hajui wang'oa meno wanaweza kumuibukia hata huko aliko..
 
Umelipwa ngapi? Acha kutuletea kichefuchefu hapa!
 
Wakati unapeleka mwili wa Msalani mtoni, pitia na wa Asumta Mshama. wote wakaliwe na mamba.
 
Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl

Hata kuliingiza taifa kwenye migharama isiyobebeka nao ni ufisadi tens mbaya.Inawezekana hao waliohusika walijua wazi hela ikiingi Iptl itaonekana sio wizi.Iweje nchi inayoomba misaada kila kukicha ilipe hao wawekezaji kiasi hicho wakati wana uwezo mkubwa wa kuepuka?!Kwa nini tuwalee hawa iptl na wanaofanana nao.Mimi sisemi Mwalimu awahukumu Bali Mungu awahukumu
 
Back
Top Bottom