Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi kwa CCM na nchi kwa ujumla.
Uongozi wa kitaasisi haumtegemei mtu mmoja bali washauri wengi wenye akili nzuri (intelligence), na kikubwa kinachokosekana ni hao washauri.
Kama washauri wangekuwa wazuri, ilikuwa rahisi tu kuacha mchakato uendelee kama Warioba alivyoanzisha halafu wanafanya frustration kwenye kura ya maoni. Hapo heshima ya uongozi wa awamu ya nne ingepanda bila hata ya wananchi wa kawaida kujua kilichotokea. Huu mgogoro wa katiba umesabishwa na kukosa hekima na maarifa tu, hata kama Rais hakutaka Muungano wa serikali tatu, ilikuwa ni rahisi kurekebisha.
Jamii imepotoka kwa kuchagua viongozi kwa kuangalia madaraja ya ufaulu bila kuangalia kama wana akili nzuri ama la. Ni muhimu kujua kwamba akili nzuri haipimwi kwa madaraja ya ufaulu tu. (Please note that ''Grades don't measure intelligence and learned fools are more fool than ignorant fools'')
Bahati mbaya zaidi, viongozi wanaweza kuwa hawana akili nzuri na wakateua washauri wenye akili duni kuliko wao.
Tunahitaji sasa kuboresha mfumo wa uongozi hasa idara za usalama.
Uongozi ni kujua namna ya kuwatumia washauri wenye intelligence.
Viongozi wakipata washauri wazuri kuanzia ngazi za chini mambo yataenda vizuri tu hata kama wao wenyewe hawako smart sana!