jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,849
Kwani wewe kwa Mtazamo wako wa Kizalendo hao niliowataja ni mapunga sese? Let us be honesty nitajie mtu mmoja tu ndani ya CHADEMA mwenye charisma na ushawishi mkubwa na mvuto wa kisiasa kwa wananchi ambao Zitto na Slaa walikuwa nao ndani ya CHADEMA. i don't need to know it in details lakini ushuhuda wa Zitto tu mwenyewe kuwa ametumia nusu ya maisha yake ndani ya chama toka wakati alipofuatwa na CHADEMA akiwa chuo kikuu na ametumia muda mwingi wa maisha yake katika kukijenga chama hicho nchi nzima a fact that cannot be disputed with any one unless otherwise unaupungufu wa akili. Sitaki nimzungumzie Slaa amefanya nini kwenye CHADEMA na nini ulikuwa msimamo wake, wewe mwanachadema unajua zaidi kuliko mimi, Jembe lile unless otherwise una mtindio wa ubongo na ushabiki wa kijinga. Hivi kweli unaweza hata kidogo kumlinganisha katibu wako wa chama wa sasa ambaye kwakweli hata jina lake silijua na Dr. Slaa? Think out of the box,Kikwete anasema ukiambiwa changanya na akili zako.
....nimekuuliza historia ya Zitto akiwa chadema unaijua?!, habari ya Zitto kufuatwa chuo kikuu akiwa mtoto hakuhalalishi matendo yake yakinafki aliyofanya akiwa chadema, hata wakina Mdee nao walitoka chuo pia,sasa wewe una mahaba niue kwa individual unaona sawa tu hata akivunja taratibu walizojiwekea ndani ya chama!
Huyo jembe lako Slaa alishawahi kukwambia aliwekwa hotelini kipindi kile kwa gharama ya nani?!, wakati yeye alituambia anashindia mihogo?!, na ulinzi alipewa na nani?!
Kwa akili hii sikushangai,ndio maana hata mleta mada unamuona "kichwa" coz mnafanana!
Kama ku-think outside the box ndio huku!,bora hata nisijue!, tumia akili punguza mahaba!