Nimevamiwa na Mende wadogo naomba msaada wa dawa gani ya kuwaondoa

spade4spade

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,206
2,153
Kwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.
 
fanya usafi watapotea
 
Nilistuka kwanza uliposema umevamiwa
Ningesema tafuta panga upambane nao. Angalia matumizi sahihi ya lugha. Ili iwe na mvuto na uhalisia..
 
Kwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.

Fanya usafi kwa kutoa makabati ya vyombo nje, chemsha maji yawe ya moto sana! Then anza kumwagia ktk kabati sehemu zilizojificha kwa maji hayo ya moto, then utaleta mrejesho kama unawaona tena!
 
Hapana tafta chanzo! Lazma wanatokead mybe katka karo,ama upo jirani na chamber,ama jirani na choo,tafta wale jamaa wa fumigation ama mapuliza dawa then wapulizie kwenye vyanzo va mazalia na makazi yao,na uwe na tabia ukiwaona puliza dawa kwa mashimo na chamber wanapozaliana,itasaidia manake hata ukifanya usafi ndani lazma watakuepo
 
Back
Top Bottom