FACT.
Kuna mtu anaweza kuongea ukahisi unaota... Duuh..!
Hauwezi ukawatenga Jumuiya ya mataifa ukitegemea unajenga uchumi. Wakati hao wachina wategemea kufaidika na haka kuchumi cha BEGGARs. Ni upuuzi mtupu..
Mbebaki kubanana humu humu .. Majeshi kila kona mpaka kusaka mafuta,sukari sasa...
Hawa ni mapigs kweli.
Mimi bado ninafanya nao kazi kuna wengine kweli wana roho nzuri mpaka inafikia anakutafutafutia nafasi ya kupanda cheo.
Wengi wa wenye majungu wametoka kwenye maeneo masikini sana... Au hata familia zao zinatoka maeneo duni kwenye nchi wanazotokea.
Kuna mmoja alileta...
Hii ni akili mbovu kabisa kupigwa interest kubwa namna hiyo... wakati deni la taifa tayari ni kubwa sana...
Kwanini wanakopa kwa siri?
Maana hata matumizi yake hayawezi kuwa ya wazi au kuwa na accountability.
Nani analinda maslahi ya Watanzania masikini wanaoshindwa kupata kipato cha kijikimu ?
Dah...Tunajifunza kwa hili... Ilibaki kidogo tu niingie mkenge...!
Hili somo tosha, ya nini kujibebesha mizigo ya wengine wakati kila mwaka kuna watoto wazuri wanamaliza vyuo vikuu...!
Ngoja nikaipige chini hii iliyoniganda mapema....!!!
Unajua watu ni kawaida kuhamia nchi nyingine na kutokana na kuamini wanaenda kutafuta...
Mbona wachina hawachomwi moto wakati wako karibia dunia nzima///
Hawa wamepoteza mwelekeo tu na wanatapatapa...!!!
Hawa ni wajinga sana...! Wanawaacha Makaburu waliowauwa mpaka wakachoka na wanaoshikilia utajiri wao halafu wanawapiga waafrika kwa kugombania kazi za kuuza magenge na kuuza sigara....
!!!!
Watabaki hivyo hivyo...! Ngoja kinuke kwao tuone watakimbilia wapi hao mafala...!!
Upumbavu mtupu....
Wanaacha majimbazi yanatamba na madawa ya kulevya yanauzwa kama viroba vya konyagi huku wakifanya vitu vya kipumbavu...!!
*** this shit..!!!
Huyu jamaa atawaaaibisha mwanzo mwisho..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.