Tuanze kufuta jina la Mazimbu SUA

Tuanze kufuta jina la Mazimbu SUA

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
776
Hawa wahuni wa SA wanaua ndugu zetu Kyle kwao
,Hv wabongo hatuumii tukiona ndugu zetu wanachomwa?
Kwa kuonyesha kuwa na sisi hatufurahii kinachoendelea tuanze kufuta jina Lao kwenye hostel za Mazimbu kule Sokoine Morogoro.
 
Bongolala tu..Ilitakiwa Rais wenu huko atoe tamko kalii sana lakini ndo hivyoo kimyaaa.
"MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO" - NYANI NGABU.
 
reyzzap
Hawa ni wahuni ,halafu gvt yao haichukui hatua za haraka kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo, Jana kuna picha nimeiona polisi wao anacheka jinsi MTU anavyoteketea na moto
 
Last edited by a moderator:
Et wanabaki kujinadi kwenye maadhmisho ya wenzetu et tanzania tumeisaidia SA , wenzako hawalikumbuki hata hilo liliishia kwa nyerere na mandela si ufala huo
 
Nchi zilizoshapoteza raia wake ktk huo ujinga inabidi zishikamane ziiwekee SA sanctions za kiuchumi kushinikiza serikali yao ichukue hatua za haraka kuzuia huo ujinga. They cannot dare to do such a thing to UK or US citizen maana wanaelewa moto wake. It's high time wakuu wa nchi wachukue hatua za haraka na wasisubiri kuona watu wao wanaendelea kupoteza maisha au hata kupata kashkash zozote huko SA.
 
Ni mapito tu tusichukulie panic ipo siku hayata sikika haya je historia itafuka? Ni hapana. Zipo serikali sidhani kama hazifanyii kazi jambo hili wangungu
 
Sijui wanataka afe nani ndio wachukue hatua,hata wauza big g ni watanzania wana haki ya kusaidiwa
 
pendael124
Mpaka age nani ndio hatua zichukuliwe?
 
Last edited by a moderator:
Wajinga jinga na wabaguzi na waroho wa mdaraka kama Malema ni wa kushughulikia mapema sana kbla jua halijachomoza
 
Hawa wahuni wa SA wanaua ndugu zetu Kyle kwao
,Hv wabongo hatuumii tukiona ndugu zetu wanachomwa?
Kwa kuonyesha kuwa na sisi hatufurahii kinachoendelea tuanze kufuta jina Lao kwenye hostel za Mazimbu kule Sokoine Morogoro.

Siku zote ubaya haulipwi kwa ubaya utakuwa hujasaidia kitu, kufuta jina mazimbu hakutarudisha roho za waliouwawa, nadhan majadiliano ndio muafaka wa hili na si haya upendekezayo mtoa maada.
 
Hawa wahuni wa SA wanaua ndugu zetu Kyle kwao
,Hv wabongo hatuumii tukiona ndugu zetu wanachomwa?
Kwa kuonyesha kuwa na sisi hatufurahii kinachoendelea tuanze kufuta jina Lao kwenye hostel za Mazimbu kule Sokoine Morogoro.

Je historia nayo tunaweza kuifuta?!
 
Kwenye maandishi kuna herufi a-z,kama watu hawatutaki tunawabembeleza nn?
Juzi mwanafunzi wao wameandamana wakidai kuvunjwa kwa baadhi ya sanamu za wazungu waliokuwa viongozi wao,na sanamu likavunjwa,sembuse jina lililoko tz?
Tujiongeze kidogo!
 
Tz tumewalea sana wa south, mpaka morogoro wakapewa sehemu yao ya mazimbo na walikaa bila kusumbuliwa ila wageni wakiwa kwao wanaona kama wanawaibia ajira zao
 
Hawa ni wajinga sana...! Wanawaacha Makaburu waliowauwa mpaka wakachoka na wanaoshikilia utajiri wao halafu wanawapiga waafrika kwa kugombania kazi za kuuza magenge na kuuza sigara....

!!!!

Watabaki hivyo hivyo...! Ngoja kinuke kwao tuone watakimbilia wapi hao mafala...!!
 
Mnaolalamika na wanachofanyiwa wahamiaji haramu huko SA hakuna aliyewaalika. wameacha asali na maziwa bongo kwenda kujitesa ugenin wasikotakiwa
 
Mnaolalamika na wanachofanyiwa wahamiaji haramu huko SA hakuna aliyewaalika. wameacha asali na maziwa bongo kwenda kujitesa ugenin wasikotakiwa

Adhabu yake sio unyama wanaofanyiwa
 
Mnaolalamika na wanachofanyiwa wahamiaji haramu huko SA hakuna aliyewaalika. wameacha asali na maziwa bongo kwenda kujitesa ugenin wasikotakiwa

Unajua watu ni kawaida kuhamia nchi nyingine na kutokana na kuamini wanaenda kutafuta...
Mbona wachina hawachomwi moto wakati wako karibia dunia nzima///

Hawa wamepoteza mwelekeo tu na wanatapatapa...!!!
 
Back
Top Bottom