Stories za kufikirika yaan zinaboa kama hivii yaani!!
Nakushauri usiguse kiroba jogoo kabla haujala.
ww ni feki yiu ...unabisha?
Achaa UK...
Kwani wee malaya?
Huko kote una zungukaa, JF kuna mawaziri, Wabunge, wakuu wa wilaya , wanao miliki ma kampuni yao, we atake Kutaka humu usikatae unaweza kua Star Na wewe..
Halafu nyie watoto mnaokuja na vi topic vya kishenzi hapa jf mnakera Sana.huu upumbavu nendeni mkajadiliane huko huko facebook.
Kwanza binti ukiwa muongo uwe na akili...ulipo hapo una wapenzi watatu, mmoja ni huyo mfadhili, wapili ni wa Instagram na huyo unayempenda Facebook.
Mathematical huyu anayekuhudumia umeanza naye ukiwa na miaka 18 na nadhani ulichofata kwake ni huduma tu ila sasa umeshaanza kujua Intagram na Facebook ndo maana unaona hana tena maana...ushauri wangu ni kwamba ingia kwenye mitandao yote ya kijamii utafute wapenzi, kaa nao miaka kumi mbeleni utakuja kujua ni nani alikuwa heaven sent!
Mtu anakaa anawaza tu sijui nianzie uzi gani, matokeo yake pumba kama hizi.
Kwani usipoanzisha uzi utaharisha au utaumwa kifaduro? Wanaboa for really
Mkuu huyu utakuta hata sii binti ila ni mshkaji boya tu anatupima mawazoKwanza binti ukiwa muongo uwe na akili...ulipo hapo una wapenzi watatu, mmoja ni huyo mfadhili, wapili ni wa Instagram na huyo unayempenda Facebook.