Wazungu punguzeni majungu makazini

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Wakuu,

Kama umefanya kazi na wazungu basi utakubaliana namimi kuwa wazungu ni watu wanaojali sana muda na ni watekelezaji wazuri sana wa majukumu yao, tatizo lao kubwa ni majungu na uchochezi.

Asikwambie mtu bana, wazungu wana majungu sana na wanapenda kupandikiza chuki kati ya boss na wafanyakazi wengine. Kwakuwa wao wanafanya kazi hivyo hata akisema kitu cha uongo huonekana kama ni ukweli kumbe majungu tu

Kama amekwambia ufanye kitu leo, ukamwambia sitaweza nina majukumu mengine ambayo yamenibana sana hivyo nitafanya kesho atakujibu haina shida lakini hapo hapo ataenda kwa boss kusema siwezi kufanya kazi na fulani ni anashindwa kudeliver. Moja kwa moja boss anaanza kukuchukia

Kuna kazungu kamekuja ofisini kwetu kamekaa wiki mbili tu lakini mtiti wake tumeuona, mmoja kashafukuzwa kazi na wengine tunanuniwa tu.

Ndugu wazungu, mkija kufanya kazi fanyeni kazi. Majungu si mtaji, hapa kwetu tunasema ''pambana na hali yako'' yaani ''fight with your condition'' achaneni na hali zetu wazungu. Ndiomana mmenyimwa makinikia, Magu wanyoooshe baba wanyooshe
 
wengi hujiona bora na perfect kuliko weusi ,,alafu ukute boss ni mweusi bhasi full kuskiliza hawa white pigs ,,,nikuwapa shit tuu nawao ila make sure na wewe unajitahidi kumanage muda na kufanya kazi kwa wakati alaf anawapa shit mpaka watapike nyongo
 
Kuna baadhi mioyo yao ni ya kibantu ila ngozi
tu na utaifa vinawafanya waitwe wazungu.
wengine ni wazungu kweli ukifanya nao kazi utafurahi mwenyewe.

wale wanaotoka kisiwa chenye heshima
ya kuitwa "bara" hao mioyo yao ni noma
majungu kwao ni kama kunywa maji
lakini nasikia asili yao haifahamiki
maana hicho kisiwa lilikuwa gereza la watu wakorofi
 
Waafrika wengi uvivu unatusumbua sana na kutokuwajibika na unapobanwa ndipo sasa mnakuja na sera kama hizi ili tu mpate nafasi ya kutegea!!!
Mara nyingi ma HR wa vibaraka wanaoitwa wazungu,
hutoa kauli kama hizi ili kulinda mikate yao
kwa bahati mbaya hujisahau kuwa nao ni weusi,
arobaini zao zikifika hufukuzwa kama mbwa mwizi.
 
Hawa ni mapigs kweli.

Mimi bado ninafanya nao kazi kuna wengine kweli wana roho nzuri mpaka inafikia anakutafutafutia nafasi ya kupanda cheo.

Wengi wa wenye majungu wametoka kwenye maeneo masikini sana... Au hata familia zao zinatoka maeneo duni kwenye nchi wanazotokea.

Kuna mmoja alileta majungu ofisi nzima ni yeye tu. Department zote zilipata shida kufanya nae kazi. serekali ilipobana vibali ili kuzuia wao kujazana kwenye kampuni za humu nchi na yeye akaliwa kichwa, yupo mtaani tu sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom