Recent content by firstcollina

  1. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ryan Giggs has left Manchester United!!

    Mkuu Freyzmen uko sawa sana. Tumtakie maisha mema na mafanikio tele huko aindako
  2. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zlatan Ibrahimovic atua rasmi Manchester

    Moja ya jambo lakujivunia sana katika usajili wa 2016 ni kumchukua Ibra Kadabra. a.ka "the Master" Sababu moja kubwa ni ile wazungu wanasema transformation of experience during construction phrase" hii naiona inalenga sana uwepo wa vijana mashuhuri (superyouth) Rashford, Martial, Lingard na...
  3. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ryan Giggs has left Manchester United!!

    Mtazamo wangu ni tofauti kidogo, Kwanza nakubali kwamba Giggs ni moja ya ma-legend wakuheshimia pale OT, mchango wake ni jambo lisiloweza kufutika kamwe. Uwepo wa Giggs pale OT ulikuwa ni muendelezo wa uwepo wa falsafa za sir AF. Hivyo ilikuwa ni changamoto kwa timu kuweza kuondokana na falsafa...
  4. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jerry Muro; Ana tatizo la kisaikolojia, Asaidiwe

    Nakiri ulikuwa na wazo la kutaka kusilisha jamvini lakini kwa bahati mbaya sana uwezo au sanaa ya kuwasilisha hoja ndio umekosa. Nafikiri ungelenga moja kwa moja kosa ama makosa ya Muro aliyoyafanya ndio uanze kumtuhumu ingeleta maana zaidi. Lakini kwa jinsi hii nawiwa kuamini kwamba umeghubikwa...
  5. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbwa bora na wa kisasa

    Wakuu kisingi anyejua au wenye ufahamu wa mafunzo ya mbwa au handout/Kitabu/Jarida/Makala atupie hapa na sisi tupate ujuzi kidogo,japo wa kuleta ufanisi kwenye hawa tunaowafuga
  6. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Slack Management Style, Utekelezaji mbaya wa Ilani ya UKAWA

    Uzalendo na Mapenzi mema juu ya nchi yetu vitatuwezesha kuijenga Tanzania iliyo bora. Naunga mkono kila juhudi chanya iliyolenga kuleta mabadiliko chanya katika ukuaji wa uchumi na juhudi za kimaendeleo bila kujali zinatoka wapi maana wahenga walisema "..adui wa adui yako ni rafiki yako, hata...
  7. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Slack Management Style, Utekelezaji mbaya wa Ilani ya UKAWA

    Dah! Sometime it is very difficult to mix Blue and Blue in order to get something different. Kwanza naomba nichangie japo kidogo kama ifuatavyo:- Subject to the post Mtoa hoja amejaribu kutoa mtazamo wake kama mtanzania na mpenda maendeleo, si mbaya japo dhairi mtu unaweza ukaona kama...
  8. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Dhana ya elimu

    Ni jambo jema lakini ni vizuri tukajiuiza tunahitaji elimu ya aina gani? Maana kama hatutalielewa hili kwanza ni dhahiri tutaishia kupingana na mipango ya kitaifa ama kukinzana kimahitaji na uwepo wa fursastahiki katika lile tunalolichuchumilia Mahitaji ya elimu ni mengi na aina a elimu pia...
  9. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Machafuko

    Haya ni matokeo ya ubinafsi, na hali ya kujiona kuwa bora na wenye kustahili mema ya nchi kuliko wengine. Hakika hili si jambo jema kabisa, nijambo linalofaa kupingwa na kukemewa na kila mwenye kulitakia mema taifa letu tukufu la Tanzania Ni dhahiri kuwa, tukiendele na mfumo huu wa kutotumia...
  10. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    I have got some mixed feelings. Am half way confused half way worried. God! Please guard your people.
  11. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu sifa za Gari aina ya Toyota Allex

    Duh! Mkuu balaa
  12. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu sifa za Gari aina ya Toyota Allex

    Asante mdau. Nashukuru kwa comment
  13. firstcollina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu sifa za Gari aina ya Toyota Allex

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na gari aina ya Toyota Allex, Tafadhali kwa mwenye ufahamu zaidi juu ya undani wa gari hili naomba msaada kufahamuu zaidi 1,500 cc XS150 S-EDITION TA-NZE121, Automatic ID:1608709-161757
  14. firstcollina

    JamiiForums Tanzania CCM mtawafukuza CCM Wazenji wangapi ??

    H ah ah ahaaaaa, imekaa poa sana hii, Mungu atuzidishie hekima na kutuondolea ubinafsi
  15. firstcollina

    JamiiForums Tanzania Hahaha! Ya kweli haya ??

    Kuliko kupata gharama yote hiyo it was better not to get married at all
Back
Top Bottom