firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 24
Miye ntanunua TV yangu ka vipi kila MTU aangalie kwake usumbufu staki
Kuliko kupata gharama yote hiyo it was better not to get married at all
Miye ntanunua TV yangu ka vipi kila MTU aangalie kwake usumbufu staki
Wala nae sie kumbe mna mwenzenu wa 3 si nlikuambia wewe anaaga huku anakuja uko kumbe hafiki ukamtetea hachepuki