Recent content by Firdous

  1. F

    Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

    hongera sana
  2. F

    Dk Shein apangua baraza la mawaziri Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko ya kuwabadilisha wizara baadhi ya Mawaziri. Katika mabadiliko hayo, Dk. Shein amemteua Ramadhan Abdalla Shaaban kuwa Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, kuchukua nafasi Ali Juma...
  3. F

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Anasema WALIOFUTIWA wengi wao wametumia miandiko tafauti
  4. F

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Hivi sasa yupo bwawani Hotel anatoa maelezo kwa wazanzibar
  5. F

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Natamani Kipindi hiki kiwe cha Wazanzibar, Kwani hii Office si ya Muungano ama Vipi? , Nahisi Rais analifikiria hilo pia. Kwanini kila siku ni hao hao tu akina Dau, Blandina kwani wengine hakuna , Hata Wazenj wenye sifa wapo na wanaweza kukamata hii nafasi vile vile.
  6. F

    Scholarship za kusoma nje

    Google knows everything!!!!
  7. F

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Daaaaaa Hiii safi sana kuna wazee wengi sana wazamani waliozani kuwa Uwaziri ni mali yao wamekwenda na maji. sijui wako hali gani sasa Yuwapi yule Seif Khatib wa Zanzibar
  8. F

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    kwa hapo chini NO COMMENTS Mpeni sifa Yesu View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact...
  9. F

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Kwa wale waliosoma TANZANIA hasa hii mitaala ya hapo juu naomba munifahamishe hii division one ya point 4 inapatikanaje? Mimi mwenzenu niko mbali sana na hali hiyo.
  10. F

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Turudini kwenye MADA. Muulizaji kauliza kama kuna MBUNGE ama MUWAKILISHI MKIRISTO ZANZIBAR. JIBU NDIO wapo tena wengi . Kwa mfano ni Mh. Sylvester Mabumba yeye ni MBUNGE wa DOLE, yule ambae hata kirefu cha SADC kilimshinda kule bungeni: Soma hapa kwa uhakika. Bunge picks 3 for SADC...
  11. F

    Shein ateua mawaziri wa mseto wa ccm na cuf

    Salma Said, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein ameteua Baraza la Mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa lenye mawaziri 25 kutoka vyama viwili vikuu visiwani humo. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Zanzibar jana ilieleza kuwa uteuzi wa mawaziri...
  12. F

    Siyo lazima kiongozi wa upinzani bungeni awe mbunge

    Sidhani kama umepitia KATIBA ama KANUNI za BUNGE kwa umakini na kwa uelewa , nahisi ulikuwa na utashi ama mawazo fulani yaliokuwa yanakusukuma wakati unapitia kama ulivyosema. HILO HALIHITAJI MWENGE maana lipo wazi sanaaaaa.
  13. F

    GE2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

    Kuna DADA mmoja kule ZNZ anaitwa ASHA ABDALLAH JUMA vipi yeye amepata ubunge?
  14. F

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Kwanini Musiweke na wa CCM kama wapo nao tukawajua ama waliochaguliwa ni wa CHADEMA tu?
Back
Top Bottom