TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, Aug 1, 2011.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,230
  Trophy Points: 280
  DAR ES SALAAM: THE Commissioner General for Tanzania Revenue Authority, Harry Kitilya, is about to retire from public service, but his replacement is yet to be confirmed.

  Reports say Blandina Nyoni, the Permanent Secretary for the Ministry of Health, has been proposed for appointment, but President Jakaya Kikwete is still hesitant for reasons not yet established, while it is being rumoured that he is likely to consider NSSF boss Dr Ramadhan Dau for the TRA's most lucrative position.

  Source: VoxMedia


  ============
  Dec 28, 2013
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kama hizo rumor ni kweli basi i bet for Dau najua karibia ataanza mfungo wa mwezi mtukufu, ni mawazo tu wadau.
   
 3. 911

  911 Platinum Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Vicious Circle...
   
 4. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Dau is perfect choice blandina si sawa kwa tra
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  KWa nini unadhani blandina Nyoni si sawa? Wote wanaweza kuwa wanafaa but under CCM they are both corrupt
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ina maana possible replacement ni hao watu wawili tuu ..... nchi hii bana
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Swali dogo la nyongeza: Dr Dau ana umri gani? (hajakaribia kustaafu na yeye?)

  Blandina hana uwezo wa kuhimili ofisi hii muhimu. Hata hivyo ningependa ofisi nyeti kama hii mkuu wake awe anathibitishwa na kamati ya bunge (through a public hearing). Katiba mpya!
   
 8. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Uko sawa mkuu,hayu jamaa hasomi michango ya wenzake vizuri kazi yake ni kujiropokea tu
   
 9. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Lets wait for the surprise maana mkuu wetu wa kaya naye hatabiriki kama Tanesco
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kwani walitangaza hiyo vacancy?

  Kama haakutangaza kwa nini wasifanye hivyo ili kupata the most acceptable candidate?
   
 11. F

  Firdous Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani Kipindi hiki kiwe cha Wazanzibar, Kwani hii Office si ya Muungano ama Vipi? , Nahisi Rais analifikiria hilo pia. Kwanini kila siku ni hao hao tu akina Dau, Blandina kwani wengine hakuna , Hata Wazenj wenye sifa wapo na wanaweza kukamata hii nafasi vile vile.
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hii habari imenipa kichaa na kichwa kinauma sasa maana hao wawili uliowataja ni Mafisadi wa hatari sana hawafai tena kushikilia sehemu yoyote nyeti katika nchni hii, Dau sina uhakika asilimia 100 ila Blandina ni Fisadi mkubwa ila 2005 ni miongoni mwa watu waliochangia Kikwete fedha nyingi za rushwa kwa ajili ya kampeni kwa mtindo kama huo wa Jairo.

  Nadhani nafasi hiyo ijazwe na mtu aliyekuwa chini ya Kittla pale TRA inatosha hao wote wawili ni kama wana siasa kwa sasa.
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  blandina ni uozo, huyo Ramadhani sina details zake
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri tuone,maana yeyote itakuwa ulaji tu.
   
 15. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Nendeni shule kaka msitake usawa bila shule.
   
 16. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dr Dau ana uwezo na anafaa pale TRA ila asipeleke udini wake huko kama anavyofanya NSSF.
   
 17. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Dau ana uwezo mkubwa. Anafaa.
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa 95% ya waajiliwa wakawa wa makabila hayo wanakotoka hao wawili kama ilivyo sasa.
   
 19. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kitilya Amestaafu!! sasa akaenjoy mabilioni yake sijui visiwa gani Maldives , Cyprus.

  Blandina Nyoni ni bomu wakimteua bora afadhali TRA isiwepo na Kamishna. Dr Dau anafaa ila sidhani ni vizuri kumteua CEO wa financial institution kwenda kusimamia kodi zetu mtatengeneza mianya ya ufisadi.

  Kwanini Kamishna asitoke hapo hapo TRA kutengeneza ukuta wa kuzuia conflict of interest !!!!!
   
 20. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuache udini. Dr. Rk dau ana capacity kubwa, ni great thinker. Atai transform tra for better.
   
Loading...