Recent content by FiQ

  1. FiQ

    JamiiForums Tanzania Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    dah mkuu umeenda deep sana, ila hata mimi naona dini isiwe kikwazo kwa waliwili wapendanao! tukumbu hakuna aliesaini mkataba na Mungu kuwa azaliwe katika familia fulani. Tunazaliwa tu na kujikuta tunafuata dini hizi. Kabila tu kitu ambacho huwezi kubadilisha siku hizi hakizingatiwi kwenye...
  2. FiQ

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa lakini sijapata kazi wana JF, msaada

    Kijana tafuta kwanza job, otherwise jiandae kumegewa wife wako.
  3. FiQ

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Mkuu ni gari tu huyo hapigi start, sasa nilitee mm nimuwashe then ww utaendesha. Nakuwashia tu mkuu.
  4. FiQ

    JamiiForums Tanzania My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

    Wote mnaoponda hii thread sio waelewa. Sijaona udhalilishaji hapa zaidi ya jamaa kutaka ushauri. Tena ameeleza vizur tu kuwa mwez wake akiambiwa anaona amedharauliwa je atumie njia gani kumwambia bila kuleta ugomvi baina yao? Akaomba kama kuna dawa mmwambie na jinsi gani atatue hili...
  5. FiQ

    JamiiForums Tanzania Jaman nimpate wapi mwaminifu?

    dah mkuu umevunja kila kitu. Na kuna wengine mpaka after wedding bado watu wanakula tu huko nje. Yani ukifikiria kwa sana unaweza usioe.
  6. FiQ

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake hutoka nje?

    Naunga mkono hoja, kwa maelezo uliyotoa upo sahihi. mia
  7. FiQ

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa ni kupoteza uhuru?

    mkuu mm cjaoa, acha tusubiri wafugaji waje watupe maujuzi.
  8. FiQ

    JamiiForums Tanzania Je, ni tatizo kupenda ngono?

    hakuna tatizo we mega tu hata ukitaka kila siku. Ni nguvu zako tu mkuu.
  9. FiQ

    JamiiForums Tanzania Unapenda msosi gizani au full mwanga?

    haaah haaah basi ukalie kwa Ngeleja.
  10. FiQ

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mapenzi ni nini?

    haaah haaah mkuu haya bana nitajitahid niongeze chanel za kudaka mikwanja mirefu.
  11. FiQ

    JamiiForums Tanzania Tusipowapa heshima, kamwe hawatatuthamini

    Tuache bias na nyinyi pia mtuheshima bana lol.
  12. FiQ

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu

    mmmh CD cku na ww ukipigwa chini ucje kulalamika hapa
  13. FiQ

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mapenzi ni nini?

    haaah haah mkuu mbona muoga ww?kipimn ya mapenzi ni upendo, cjui kama nipo sahii?
  14. FiQ

    JamiiForums Tanzania I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

    Mmmh ww nawe umezidi kama wampenda si u pm mkutane ya nn kuchosha watu humu?ww kama humjui mm ntamjuaje! Nahisi ww ndo The Finest mwenyewe unakuja kutuzuga tu hapa. Mnalishushia hadhi hili jukwaa.
  15. FiQ

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Una mvuto?! Mvuto wa kichawi au? Kaaz kweli kweli
Back
Top Bottom