Nataka kuoa lakini sijapata kazi wana JF, msaada

Kijana tafuta kwanza job, otherwise jiandae kumegewa wife wako.

Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.
1.Unapofikiria kuoa jiulize kwanza, je?? ninauwezo wa kumudu mambo muhimu ya kimaisha??? kama chakula, malazi na mavazi?.
Hapa ni lazima uwe na uhakika wa wewe na mkeo na mtoto. KIFUPI UWE NA UHAKIKA WA KUTUNZA WATU WATAU ANGALAU.
2.Unaweza kupata kazi SAWA, je ukifukuzwa??? utampa talaka shem??? Ni lazima uwe na kazi na vyanzo vingine vya pesa vya kueleweka.
3.Kwa vile huna kazi we endelea kuwa PADRI TU.
NI KOSA KUBWA SANA KUINGIA KWENYE NDOA KICHWAKICHWA.NI MUHIMU KIELEWEKE KWANZA.UWE NA UWEZO.

USITEGEMEE UWEZO WAKE MKEO AU PESA ZAKE. PESA ZAKE NI ZAKE NA ZAKO NI ZAKE PIA HUO NDIO UDUME.
MIMI MWANAMME MWENZIO NAKUPA HUO USHAURI.

Hela ya mahari unayo?
..Bwa haha hhaa hili nalo neno.
Maisha ya sasa ni kusaidiana kutokana na Ugumu wa Maisha. Wote mkiwa mnapata kipato ni Vyema zaidi. Otherwise kuwa muwazi kwa mwenzi wako na mlijadili kwa pamoja nini cha Kufanya.

Kijana mimi nahc unataka usaidiwe kuhudumiwa mkeo na wenye pesa jambo ambalo litakuumiza. Na mke hawezi kuheshmu kama huwez mtimizia mahtaji. Make money first then ndoa itafuata kijana dnt try something lyk ndoa do it when you knw ur got guts to

Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.

nina shem wangu kaoa hana kaz & aliyemuoa hana kaz. ilifikia kpind dada angu akawa anakuja kuiba vyakula home kisa hawana hata pesa za chakula. walijifarij kuwa kwa vile m'me anachukuwa degree ya uinjinia mwaka wa mwish bac hatakosa ajira mpaka leo hana kaz & yupo kwenye ndoa isiyo & amani. so bro dont try that game its dangerous!

fanya kosa hilo,oa halafu sisi wenye kazi tutawalea,tena wote!maisha haya ya sasa sio ya kubahatisha dogo

On a more serious note inamaana mamilioni ya vijana wasio na ajira wasioe hadi watakapo ajiriwa? The society is surely headed for crisis.

Listen, hana kazi (hajaajiriwa wala kujiajiri na possibly mwanamke pia hana kazi wala mtaji) unategemea ataitunzaje familia ataksyoianzisha! Labda wakaishi kwa wazazi wake!

Lakini si umeelewa anachomaanisha? tatizo letu waswahili tunakosoana sana, ndio maana tunaona aibu hata kujifunza coz tutachekwa

Halafu hatukosoani Kiswahili, ni kiinglish tu wainglish wamejaa humu! Sijui ni athari za ukoloni?

USITEGEMEE UWEZO WAKE MKEO AU PESA ZAKE. PESA ZAKE NI ZAKE NA ZAKO NI ZAKE PIA HUO NDIO UDUME.

MIMI MWANAMME MWENZIO NAKUPA HUO USHAURI.[/QUOTE]

Nimeipenda hiyo!

Unaweza kuwa winga???
Njoo chukua bidhaa uuze kwa faida yako

INSTAGRAM @dollrubii_decors

Back
Top Bottom