Kipimo cha mapenzi ni nini?

mi nataka laki tatu tu kwa sasa ni pm nikupe no unitumie kwa tigo pesa our jf sponsor sijui naona bango lao

usijali_kwani laki 3 kitu gani bana kwa mtu kama wewe,...ila habari za ku pm mimi hii teknolojia bado zijaijua labda unipe somo la namna ya ku pm,....by the way tutatafutana manually weekend kama hautajali....ukinuna sema
 
sio uoga mkuu_ni mambo ya taadhari tu hayo,..unajua unavyoishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe ugonvi wa mawe,...wakinuna hawana mchezo hao,....nafikiri bado hauko sahihi kuhusu suala la mapenzi kua upendo ni hela bana,...subiri utayaona ukikosa hela shemeji atakavyo respond
haaah haaah mkuu haya bana nitajitahid niongeze chanel za kudaka mikwanja mirefu.
 
ngoja niwang'arishie viatu wateja hapa,wamesubiri sana,...si inaikumbuka ile laki 3_utanikuta hapa stand ya kuenda mikoani yanapo park magari ya hood ...kuna shoe shine na washkaji kibao
 
Back
Top Bottom