Recent content by FINDTRUEFAITH

  1. F

    Kugombania maiti

    Wadau nimekuwa ninauliza hili sakata lilitokea wapi na lini? Tafadhali tusaidieni!
  2. F

    Kugombania maiti

    Mkuu hii imetokea lini na wapi? Tafadhali
  3. F

    Suala la kiongozi wa dini kuwa kiongozi wa familia yako ni upumbavu

    Unafikiri unaweza kuvunja mahakamani bila mchungaji wako kutoa maoni take?
  4. F

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Huwa ninasikia Watanzania ni wanyonge, sasa no lini mnyonge akawa tajiri? Ninajiuliza kwa sauti!
  5. F

    Ambae aliwahi kukopeshwa pesa na hawa wanaojiita Islamic bank atoe ushuhuda hapa

    Nimeandika kitabu kuhusiana na mada hii tata. ( Hatari Nyuma ya Benki za Kiislamu- Risk Behind Islamic Banking) -Wanasema hawatozi ribs, lakini kupitia Cost plus scheme riba yao in Mara tatu zaidi kulinganisha na Benji zisizo za Kiislamu. Ni kwa sababu unapotaka mkopo waa kununua kitu, ikiwa...
  6. F

    Hizi delays na cancellation za ATC ni dalili za shirika kuelekea kibla?

    Mimi niliahirishiwa Mara mbili wiki iliyopita Dar-K'njaro kwa kufaulishiwa kwenye Precision na hivyo hivyo kutoka K'njaro-Dar ilikuwa hivyo hivyo matokeo yake gari iliyokuwa itupokee K'njaro wakatuchaji waiting charge kwa kutofika kwa wakati wakati tatizo hill lilikuwa nje ya uwezo wetu. Iko...
  7. F

    Mageuzi makubwa sana

    Ina maana watu haioni kwamba ni ya kutengenezwa?
  8. F

    Uamuzi wa kumchagua Askofu Mwandamizi uliwahishwa?

    Mwanza kapelekwa Ask. Nkwande aliyekuwa Bunda. Haliko tupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. F

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Amekuja by foot badala ya on foot Sent using Jamii Forums mobile app
  10. F

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Umeni deep badala ya umeni beep Sent using Jamii Forums mobile app
  11. F

    Mme wangu, njoo tuanze kujenga familia.

    Umesahau kigezo kimoja kwamba mwanaume awe anajua kuishi na mwanamke kwa akili. Hili in muhimu sana. Anaweza kuwa na vigezo vyote ulivyovitajabila kama hawezi kuishi na nwanamkebkwa akili kutakuwa na matatizo mengi kwenye mahusiano. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. F

    Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

    Ukifika tu kituo kikuu cha mabasi cha Liwale utawaona watu wanakuja kwenye bus hill na kutangaza " wanaokwenda kwa bibi, pikipiki zipo" ujue wanaongelea Ngende. Hapo wanamaanisha wale wanaokusudia kuunganisha siku hiyo hiyo kwenda huko. Mtapita kwenye misitu Fulani (siikumbuki majina ) hadi...
  13. F

    Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

    Ngende ni kweli IPO kata ya Mpiga Miti km 40 toka Liwale Mjini kupitia Mangirikiti Sent using Jamii Forums mobile app
  14. F

    Kumbuka, wanaodhulumu huwa hawana mfariji

    Ingekuwa vyema iwapo ungenijulisha mimi nisiyejua kuliko kunilaumu na kuniacha jinsi nilivyo. Hilo nalo linafikirisha.
  15. F

    Kumbuka, wanaodhulumu huwa hawana mfariji

    MHUBIRI 4:1-3 1 Kisha nikarudi na kuona madhalimu yote yanayotendeka chini ya jua; na tazama, machozi yao waliodhulumiwa, ambao walikuwa hawana mfariji; na upande wa wale waliowadhulumu kulikuwa na uwezo, walakini wale walikuwa hawana mfariji. 2 Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko...
Back
Top Bottom