Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu maelezo yako ya mwisho nimewahi kuyasikia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani

Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hiyo sehemu ni hatari naskia unaeeza kwenda huko ukaona kichwa kisicho na kiwili kinakuongelesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASI ITAKUA ZIPO NYINGI
Ipo wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, kuna mjomba angu mmoja alinisimulia aliwahi kwenda kwa shida zake sasa ikawa njianj akikutana na watu wakumuuliza unaenda wapi? Anajibu "tunaenda kusikiliza uongo wao kwa hawa jamaa"(anamaanisha huko Ngende kwa waganga yaani ni waongo hawaamini ila anakwenda kujaribu) Sasa alipofika akaulizwa umekuja kufanya nini huku na wakati sisi ni waongo? Ikabidi awe mpole na kuomba radhi akaambiwa usiniombe mimi kamuombe yule pale anaoneshwa chatu mmoja mkubwa sana kama Anaconda akawekewa unga kiganjani akamlambishe ndio msamaha. Sasa Anko akifikiria maneno aliyoyasema njiani na huyo jamaa wakuombwa radhi jinsi alivyo ule unga wa kiganjani atashiba kweli au ndio atakuwa yeye mwenyewe ni msosi?.

Ila ni sehemu maarufu kwa kusini inasadikia kwa kutoa utajiri na mambo mengine mengi ya kishirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefananisha mkuu Ngende iko mbali sana kutoka Nyangao maana unapita mpaka wilaya ya Nachingwea wewe unasemea Mkwera bwawani kuna bwawa kubwa sana hapo wanafanyia tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, kuna mjomba angu mmoja alinisimulia aliwahi kwenda kwa shida zake sasa ikawa njianj akikutana na watu wakumuuliza unaenda wapi? Anajibu "tunaenda kusikiliza uongo wao kwa hawa jamaa"(anamaanisha huko Ngende kwa waganga yaani ni waongo hawaamini ila anakwenda kujaribu) Sasa alipofika akaulizwa umekuja kufanya nini huku na wakati sisi ni waongo? Ikabidi awe mpole na kuomba radhi akaambiwa usiniombe mimi kamuombe yule pale anaoneshwa chatu mmoja mkubwa sana kama Anaconda akawekewa unga kiganjani akamlambishe ndio msamaha. Sasa Anko akifikiria maneno aliyoyasema njiani na huyo jamaa wakuombwa radhi jinsi alivyo ule unga wa kiganjani atashiba kweli au ndio atakuwa yeye mwenyewe ni msosi?.

Ila ni sehemu maarufu kwa kusini inasadikia kwa kutoa utajiri na mambo mengine mengi ya kishirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sisi wa kusini huko,hiyo sehemu ipo sana wilaya ya liwale huko.

Liwale ni wilaya ya lindi ambayo huwenda ndo ikawa inaongoza kwa uchawi katika mkoa wa lindi,mimi nimetokea wilaya ya nachingwea na nilikuwa nazipata uzuuuuuuuri habari zake.

Ila humu watu wanaongeza chumvi sana yaani,hakuna maajabu kama watu wanayoyasema humu,mengi ni stories tu wala sio hakika,ila ni kweli kina uchawi na watu walipata sana utajiri enzi hizo.

Inasadikika ukipata utajiri unatakiwa upeleke shukurani ,lakini naskia walikuwa wanawasahaulisha makusudi ili wapate sababu tu ya kukypiga BAN ya maisha,na walifanikiwa.

Me nadhani huwenda wanakufanya kiini macho ujione tajiri kumbe fala tu mmoja.
 
Sasa wakuu na wenyeji wa huko tuambieni kitu kinachofanana,hii kutofautiana mnatuacha njiapanda sisi tunaotaka kufika huko

Back
Top Bottom