Mageuzi makubwa sana

Mageuzi makubwa sana

Hafikii watoto wa Jw yani unaweza sema hawa wanaenda vita gani?
 
Itakuwa hujui undani wa haya mambo! Huyo kaliwa kuanzia anaanza depo mpaka hapo alipo saiz
Tatizo siyo kuliwa wote wanaliwa tatizo ni lini wewe umekula acha utoto kwa hiyo wewe unapokula hapaliwi.
 
Polisi wa pili kwa kweli mbaya ktk nyanja zote. Siku nikiweka picha humu itakuwa balaa
Mkuu wamaanisha picha yako ?
Kama ndivyo basi, anzia upande wa pili kwanza ili niihakiki... Kwa mema tu
 
Back
Top Bottom